Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,941
- 236,644
Mlipo wapi?Kwa hiyo tunatokaje hapa tulipo ?
Mlipo wapi?Kwa hiyo tunatokaje hapa tulipo ?
dilemma ya mimi na weweMlipo wapi?
Upo dilema tangu lini?dilemma ya mimi na wewe
wake za watu wanakuwaga poa sana. Nakung'ang'ania kama rubaUpo dilema tangu lini?
Mke wa mtu Mimi.
Bye
Utapoteza Muda wako bure.wake za watu wanakuwaga poa sana. Nakung'ang'ania kama ruba
Muda na utamu kipi bora ?Utapoteza Muda wako bure.
Okoa muda.
Ulikuwepo?Samatta superstar mkubwa kafunga ndoa wamehudhuria ndugu zake ambao hawakuzidi 20 ndugu wa mkewe na baadhi ya jamaa tu..simple like that.
@smart911 na mahondaw wakeMnaotaka kuiga hiyo picha mtavunjika miguu,ila mkivunjika mtatupa mrejesho tafadhali.
SokoniMlipo wapi?