Kabla ya kufikiria harusi, weka haya akilini!

Naiman 89% ya wanaume walio oa kwa harusi hawakupenda mbwembwe za harusi ila tu shinikizo kutoka either kwa mpnz wake au family. But zaidi ya 100% ya wanawake wanapenda kuolewa kwa harusi japo wengine huishia kufanya ya kimila au kwa DC
 
Back
Top Bottom