mzee cheyo asubuhi hii kaomba ule mkanda uliorekodiwa katika kile kikao uwekwe wazi ili watanzania waone lipumba,slaa na mbatia walivyo wanafiki
Kasema slaa ndio alisema haya tumefikia muafaka,leo anashangaa walipotoka tu katika kikao cha tcd wakapinga maafikiano yaliyo fikiwa.
mzee cheyo asubuhi hii kaomba ule mkanda uliorekodiwa katika kile kikao uwekwe wazi ili watanzania waone lipumba,slaa na mbatia walivyo wanafiki
Kasema slaa ndio alisema haya tumefikia muafaka,leo anashangaa walipotoka tu katika kikao cha tcd wakapinga maafikiano yaliyo fikiwa.
Namlaumu mshauri wa jk aliyeamua waandishi wa Habari wasiingie. Ni siri gani iliyokuwepo ambayo alitaka watanzania tusijue?
Matokeo yake ndiyo hayo cheyo ana yake kingunge ana yake mbowe ana yake. Ni nani mkweli? Siri!!!!
kusoma hamjui hata picha hamuoni??
Kikwete kukubali mchakato wa katiba kuhairishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu impliedly ameridhia bunge la katiba kusitishwa.
katumia lugha ya kistaarabu kufikisha ujumbe kwa wajumbe kujitathmini kama kuna umuhimu wa kuendelea na bunge ambalo litakuja kukaa upya baada ya uchaguzi 2015.
sasa tumepewa nafasi ya kupima na kufanya maamuzi,
in real sense hili bunge la katiba ni sawa na mtoto aliyepanda juu ya mti hadi kileleni na kushindwa kushuka anahitaji msaada wa kushushwa.
nchi hii siasa zimekuwa kero kwa wananchi,viongozi wamejaa tamaa na uroho wa madaraka na maendeleo yao binafsi
Sioni mwenye nia ya kweli kati ya slaa,lipumba,na mbatia wote njaa zinawatafuna.tungekuwanao huku mtaani wangekuwa waporaji sana hawa watu
Mamndenyi hebu tulia kidogo utafakari vizuri naona umepanic balaa....ndio siasa zetu hizo!!
Hapa suala si pesa,watu wanatumia tu kisingizio cha pesa kwamba eti zinaliwa.suala hapa ukawa wamegundua wamepigwa bao la kisigino kwani katiba inaendelea kuandikwa na wanafanya kila mbinu kutibua ili tarehe 4 october ambayo ni kama wiki tatu zijazo isifike bunge liwe limesitishwa.
Hii hoja ya kwamba eti pesa ya wananchi inapotea ni upuuzi mkubwa. Kinachoondelea bungeni ni makamilisho ya kazi ya bunge la katiba kwa ajili ya rasimu hiyo kupigiwa kura ya maoni mwaka 2016. Hiki kinachofanyika sasa hakitarudiwa tena kujadiliwa. Ninachokiona hapa ni UKAWA kuona aibu kurudi bungeni hivyo wanatumia kigezo cha fedha za umma. Ni busara tu wangetumia, warudi bungeni wakatoe michango yao kwa ajili ya maboresho ya rasimu ya katiba itakayopigiwa kura 2016.
Mimi naona mkanda wa maongezi uwekwe hadharani tuone kabla ya kuandamana!
Pesa zinazo za wananchi wanaoteseka usahilini ni zaidi ya makubaliano ya ukwa na JK, kama walishindwa kutambua pesa zetu zina tuuma zaidi ya kusubiri bunge lisilo kuwa na hitimisho ni upuuuzi wa hali ya juu sasa ni wakati wa wananchi kuonesha tumechoka na uppuuuzi na njia ya mwanzno ni kufikisha ujumbe wa hisia zetu kwa maandamano na waacha mara moja kuchezea pesa za walipa kodi, na kama wakina JK watakuwa akitoa pesa mifukoni mwao za mishaara yao kugharamia hilo bunge lisilo na tija, Ruksa!