Genius Messi
Member
- Oct 14, 2017
- 74
- 52
Mkuu hoja ya jamaa ipo sawa kabisa hata wewe kama hauna hela si ubaki huko kijijini kwenu mjini waacheni wenye nyumba zao kama wataamua kufugia kuku ni zao wenyewe lakini sio mambo ya kupangiana jinsi ya kupokea kodi.Pambana na hali yako maana hamna namna, we kama huna uwezo unataka mtoto wako akasome Feza kwa mlango wa ada elekezi?
Ujamaa ulishajifia naona watu mnataka muurudishe kiaina sababu mpo masikini.
Kwani kwenye afya..... Bima kwa mwaka mzima si inagharimu almost 50400 mbn serikali imekusaidia hapo nduguSerikali kujipanga kuanza kwa mamlaka ya Nyumba ni mpango mzuri utakao punguza makali ya maisha kwa wstanzania wengi,hatua ya kupongezwa
lakini pia ingekua vizuri wangeanzia kwenye ada(fees) kuangalia upande huo kuanzia Nursery hadi vyuo vikubwa watu binafsi wamekua wakijipangiaviwango vya juu mno watakavyo..inaumiza sana
Tukisaidiwa huko na wakipita kwenye Afya angalau kila mtanzania awe na bima kwa malipo yasioumiza.
robo tu ya wanafunzi wakitoka shule binafsi shule za serikali hazitaweza kuwamudu serikali haina shule za kutoshaKama ada una shindwa kulipa kwenye shule ambayo hukupeleka hata tofali mlete mwanao huku govt. Sisi walimu wa kawaida tutamfundisha mwanao KKK ingawa maslai yetu hamtupi.
Kwenye nyumba ni sawa kupanga kodi stahiki ukizingatia watu wanaopangisha wengi ni wasanii
Mkuu huko kwenye ada za mashule tulishamaliza...hukumbuki tulitoa tamko takriban miaka 2 nyuma?Serikali kujipanga kuanza kwa mamlaka ya nyumba ni mpango mzuri utakao punguza makali ya maisha kwa watanzania wengi, hatua ya kupongezwa.
Lakini pia ingekua vizuri wangeanzia kwenye ada(fees) kuangalia upande huo kuanzia nursery hadi vyuo vikubwa watu binafsi wamekua wakijipangia viwango vya juu mno watakavyo inaumiza sana.
Tukisaidiwa huko na wakipita kwenye afya angalau kila mtanzania awe na bima kwa malipo yasioumiza.
Hata nyumba kumuingilia mwenyewe ambaye hujamsaidia kwa lolote si sawa. Haya ni mambo ya kisiasa zaidi .Kama ada una shindwa kulipa kwenye shule ambayo hukupeleka hata tofali mlete mwanao huku govt. Sisi walimu wa kawaida tutamfundisha mwanao KKK ingawa maslai yetu hamtupi.
Kwenye nyumba ni sawa kupanga kodi stahiki ukizingatia watu wanaopangisha wengi ni wasanii
Usiache mpa mwanao elimu Bora kwa kigezo cha eti elimu ya juu atakosa mkopo. Tambua mkuu wapo wtt wengi wa maskin tena waliopt Education na walikoswa mkopo. Tambua hata hii mikopo miaka kadhaa ijayo haitakuwepo kwa wote kama zilivyo anza kupotea ajira.mwanzo
Kwani wewe ulileta tofali kwenye nyumba hiyo unayopanga.huwezi nipangia bei wakati hujaniuliza hata gharama ya ujenzi na maintanance ikoje.wasiotaka waende wakapange hizo za NHC.Kama ada una shindwa kulipa kwenye shule ambayo hukupeleka hata tofali mlete mwanao huku govt. Sisi walimu wa kawaida tutamfundisha mwanao KKK ingawa maslai yetu hamtupi.
Kwenye nyumba ni sawa kupanga kodi stahiki ukizingatia watu wanaopangisha wengi ni wasanii