Kabla ya kipenga cha mbio kupulizwa

Kwakuwa ni tembo wa India hakuna madhara yoyote.
Ila wangekuwa wakwetu hapa kwa umbali huo tembo angesha piga mluzi wake wa hatari
 
wanakimbia na hii misuli? ila wahindi na tembo ni damu damu wala hawana shida
 
Tembo wa India ni sawa na nyoka wa Bujora makumbusho hawana madhara
 
hlf kwa ujinga limtu linapiga kelele et laleni chini laleni chini!!! ***** atakae lala huyo hajawai kula chapatiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…