Kabla sijajilipua naomba msaada wenu.

Kama unataka umsaidie tu maisha sawa mpe lakini kama unamkopesha au nachangia naye hiyo biashara hata wala usijaribu.

Mwaka 2008 kuna alinishawishi nimpe laki 5 tufanye biashara akaniahidi ndani ya miezi michache pesa yangu itakuwa imerudi na faida juu, nilimpa hiyo pesa lakini alikuja nirejesha hiyo pesa kwa mwaka mzima kwa marejesho ya elf 40 kwa mwezi bila faida yoyote.

Kuna kijana mmoja tuliokua karibu naye sana alinijia akiniomba mtaji wa kuuza nguo ilikuwa mwaka 2009, hiyo pesa hata kwa mwaka ule ilikuwa bado ni ndogo lakini nilimpa kumjaribu ukweli nilimpa hiyo pesa lakini baada ya hapo sikupewa mrejesho tena. Mtu huyohuyo akaja na story nyingine nikmpa tena laki 3 pesa ilipo ishia sielewi.

Kijana mmoja mdogo wa rafiki yangu akaja na story ya mtaji miaka michache iliyopita naye akahitaji pesa lakini na nusu nikasema sawa baadae story alizonipa jinsi hela ilivyoisha sikutaka tena kufuatilia mambo yake.

Mwaka jana ndugu yangu kunabiasha anafanya sasa akawa ananimbia biashara yake ingeimarika kama angepata milioni moja hata ya mkopo tena akawa anasema ndani ya miezi 6 tu atakuwa kisharudisha hiyo pesa lakini kwakuwa kama familia mwanzo tulikuwa tumeshampa million 2 bila marejesho yoyote, mimi nilisita lakini kwakumuonea huruma nikampa hiyo pesa kwa kumdanganya nimeikopa sehemu hivyo baada ya ule muda anirudishie muda umepita kimya ni mwaka sasa sijawahi hata kumuuliza kuhusu ile hela hata hivyo wakati natoa zile hela nilikuwa natoa kama sadaka tu hivyo sikutegemea nirudishiwe na hata ningerudishiwa ningemwambia aongezee tu mtaji wake.

Usimpe mtu mtaji ukitegemea utarudishiwa, toa tu kama sadaka.
 
Mk

Mkuu namimi nakuja PM unikopeshe mil.moja Tu ntarudisha baada ya wiki
 
Wote niliokuwa nawasaidia walikuwa ni watu wangu wa karibu. NB huyo rais wenu kaharibu uchumi sasa sio tajiri sio maskini wote tunaishi kama mashetani.
 
Back
Top Bottom