Kabla kuowana na baada ya kuowana!!!

Kabla kuowana na baada ya kuowana!!!

Kijana Style

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
37
Reaction score
10
KABLA KUOWANA


Mvulana: Kutoka zamani nina subiri moment hii,
Msichana: Wapenda niende zangu?
Mvulana: No no no no,
Msichana: Wanipenda kweli?
Mvulana: Bila shaka,
Msichana: Ukimpata msichana mwengine utanitupa?
Mvulana: Ni vigumu sana mimi kufanya hivyo,
Msichana: Ungependa tushikane mikono tukiwa pamoja?
Mvulana: Bila shaka panapotokea haja ya kufanya hivyo,
Msichana: Wewe ni aina ya watu wanaopenda kupiga wake zao?
Mvulana: Wewe una wazimu???,
Msichana: Je,naweza kukuamini?
Mvulana: Naam,
Msichana: Mpenziii ....
BAADA YA KUOWANA.
{soma kuanzia chini kwenda juu}


 
Back
Top Bottom