Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
IV watu wa jamii Forum Kwao wapi naona wanatoa maoni tu ila Ata namba zao za simu hazionekani wala wao hawajulikan wanaish wap. Ukitaka kukoment uzi u jitaje kwako wap
Ndo wap mkuuMie Kwetu Saseni
Mtaa ganiMi naishi humuhumu.
Kutambuana ni jambo jema Ndo desturi za wanadamu wemaUkabila unaanza sasa. Au unataka kufanya sensa?
Kwa iyo mkuu watu sio rahisi utambue Kwao?kaka hii sehemu kujua labda marafiki zako ambao wapo jf na unawajua majina yao na kwao pia vinginevyo utasoma jf imepasua anga ni zaidi ya tz karibu raia wake wengi wapo nje na wa ndani
Ndo wap mkuu?Kwetu Nanjirinji. Karibu
si rahisi maana fb wao wana onesh kbisa current city uliopo lakin jf kuna usir mkubwa sana kuanzia ID UNAYOTUMIAKwa iyo mkuu watu sio rahisi utambue Kwao?
WasalimieKwetu na Nguluwe...
Kwa nini iwe Siri ivyo mkuu wanaficha nini?si rahisi maana fb wao wana onesh kbisa current city uliopo lakin jf kuna usir mkubwa sana kuanzia ID UNAYOTUMIA