Kabla hujafikia umri wa miaka 28.....

Kabla hujafikia umri wa miaka 28.....

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
7,023
Reaction score
9,260
kutoka kwa mdau mmoja......haya ni mambo ambayo kabla ya kufikia miaka 28, uwe umeyafanikisha na unayaishi...

Kama wew ni kijana smart..

Kwa under 28 na 29 years mangapi kati ya haya tayari umeyafanikisha....na above 28 years ulikamilisha mambo hayo ukiwa na umri gani?
IMG_20190526_085647.jpeg
 
Good idea, lakini kwenye masuala ya kumiliki assets, hilo linategemea.

Rejea nadharia ya Abraham Maslow, Maslow's Hierarchy of Needs.

Utagundua ni suala gumu sana mtu kumiliki assets ikiwa kula yake ni shida, basic needs of man.

My assumptions, tusipende sana kuiga, hasa kutamani maisha ya wengine maana ni ngumu kujua uhalisia wetu.

Tunapaswa kufanya kazi kwa malengo na kujituma.

Kila kitu kinawezekana,
 
Point taken brother
 
Aya zako mbili za mwisho zinakinzana na ulichoandika mwanzo.
 
Mali iko shambani huku mjini tunakula bata tu na watoto wakali my plans nikifikisha umri wa miaka 35 ndo narudi kijijini kwa mama naoa naanza kuitafuta sasa mali shambani
 
Vyote hivyo nilivipata nikiwa na 23...kwakuhustle sio kwa kurithi *****
 
Back
Top Bottom