Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

Habari ndugu,

Calculator inafanya kazi sawia kabisa .. na ndio hiyo tunayoitumia.
Lakini, elewa kwamba, baada ya ushuru, kuna gharama zingine za bandari n.k
Gharama ambazo huzikuti kwenye kikokotoo cha Tra..
Hongera sana kaka kwa kutuelimisha,kwang naona una busara sana
 
Nimejifunza mengi kwenye huu uzi , maana yake cif+tra calculator estimated cost= real cost . baada ya hapo lazima uwe na akiba kama ya 1.5 m kwa ajili ya gharama ya bandari, na service ya gari kabla ya kuanza safari ya mkoani . Mbarikiwe wote.
 
TOYOTA VOLTZ

Cif = Tshs 6,891,000
Ushuru = Tshs 7,048,000= 13,039,000

Handling = $7*12.348 = $86.436+ 18% vat = $102
Corridor levy = $0.3*12.348 = 4 + 18% vat = $4.72
Wharfage = 1.6%*2,976 = $47.616...
Mkuu mnafanyaje kuhakikisha pesa yenu inarudi? Je mnaweka riba au hapana? Tujuze tafadhali
 
Kamanda hongera uzi
kwa mzuri..!
Naomba unipe mchanganuo wa hizi gari mpaka unaichukua.
 

Mwaka wa fedha wa serikali ni julai mkuu
 
Habari za muda huu,

Pamekua na thread nyingi sana za watu kuomba ushauri/elimu haswa kwenye suala zima la budget halisi /kamili ambayo mtu anahitaji kuwa nayo kuweza kumiliki gari....
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…