Kabla hujaagiza gari, pitia hapa kujua gharama kamili za ushuru na bandarini

MAGARI7 naomba msaada wa hili
Screenshot_2019-07-01-15-54-10.png
 
Habari ndugu,

Calculator inafanya kazi sawia kabisa .. na ndio hiyo tunayoitumia.
Lakini, elewa kwamba, baada ya ushuru, kuna gharama zingine za bandari n.k
Gharama ambazo huzikuti kwenye kikokotoo cha Tra..
Hongera sana kaka kwa kutuelimisha,kwang naona una busara sana
 
TOYOTA VOLTZ

Cif = Tshs 6,891,000
Ushuru = Tshs 7,048,000= 13,039,000

Handling = $7*12.348 = $86.436+ 18% vat = $102
Corridor levy = $0.3*12.348 = 4 + 18% vat = $4.72
Wharfage = 1.6%*2,976 = $47.616...
Mkuu mnafanyaje kuhakikisha pesa yenu inarudi? Je mnaweka riba au hapana? Tujuze tafadhali
 
Kamanda hongera uzi
kwa mzuri..!
Habari za muda huu,

Pamekua na thread nyingi sana za watu kuomba ushauri/elimu haswa kwenye suala zima la budget halisi /kamili ambayo mtu anahitaji kuwa nayo kuweza kumiliki gari.

Kwa bahati mbaya, wengi wamekua wakipewa gharama kubwa tofauti na uhalisia hiyo yote kwasababu hawajui.

Nimeona ni vyema tukafungua huu uzi, Na Mimi nimeamua kujitolea kutoa elimu hiyo kwa kadri ya uzoefu wangu.

Naamini si Mimi tu ninaefahamu, bali wapo wengine pia, lengo ni kusaidia wote wajue gharama halisi wanazotakiwa kulipia kuweza kumiliki gari.

Nitakua hapa, kukusaidia mahesabu halisi ya ushuru na gharama zote za bandari unazotakiwa kulipia kwaajili ya kuweza kumiliki gari lako.


NOTE :

Hakikisha unapouliza, unakua na mfano halisi wa gari husika, iliuweze kupata hesabu halisi ambazo sio za kufikirika.

Mfano, unaulizia bei ya Toyota Ist
Kama gari hiyo labda umeiona mtandao fulani wa kuuza magari (be forward, enhance etc)
Unanipatia link tu ya gari husika, kisha nakusaidia kuipigia mahesabu halisi.
Kinyume na hapo, yatakua ni mahesabu ambayo sio halisi (yakufikirika)

Ahsante, naamini ma wengine wenye uelewa/ufahamu watajumuika hapa kwaajili ya kusaidia wanaohitaji kujua gharama halisi za ushuru na gharama za bandari wanazohitaji kulipia kwaajili ya magari yao.


Karibu, tusaidiane!
Naomba unipe mchanganuo wa hizi gari mpaka unaichukua.
28625041.jpeg
r.jpeg
 
Mkuu hawa TRA bado kikokotoo chao hakieleweki kinaweza kukubadilikia wakati wowote, kumbuka walisema zisiingizwe gari zilizozidi miaka 10 ikiwa hivyo zitachajiwa zaidi
hii kodi yao ni mara 2 ya manunuzi hata kwa gari la zaidi ya miaka 20
HAPA
kwanini kuna tofauti ya ukokotoaji wa magari wakati ni aina moja, mwaka, cc ya injini petrol, na yote yanatoka Japan mfano
Harrier ya mwaka 2000 (ushuru ni 7,664,094/ na alteza ya 2000 ni 4,452,927/)
View attachment 1073067

Mwaka wa fedha wa serikali ni julai mkuu
 
Habari za muda huu,

Pamekua na thread nyingi sana za watu kuomba ushauri/elimu haswa kwenye suala zima la budget halisi /kamili ambayo mtu anahitaji kuwa nayo kuweza kumiliki gari....
Asante sana
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom