babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,398
- 3,243
hata kwenye hizo Yard ushuru wa TRA upo palepale
Labda ununue kwa mtu ambaye tayari keshalipia huo ushuru wa kuingiza Nchini na kapewa namba lakini usithubutu kuingiza hata gari la bure au zawadi, ili lisajiliwe lazima uingie kikokotoo hicho na ulipe
kama Harrier ni ya bure lazima ulipie ushuru milioni 7
umesahau na kitu inaitwa SHIPPING LINE Ambayo hapa sijaona ukiiandikaHabari Mck,
Kwa mujibu wa tra calculator
Ushuru wa gari yako ni 11,029,645.19
Na bei ya kuifikisha gari hadi bandari ya Da es salaam, kwa sawa sawa na screenshot yako ni
10,742,976
11,029,645.19 (Ushuru)
10,742,976 (CIF)
Inakua : Tshs
21,772,621.19
Handling ni $7 jumlisha VAT (18%) per cbm (cubic meters)
Ile gari ina 14.621 CBM
Kwahiyo unafanya $7*14.621 = $104 plus VAT (18%)
$122.72
Kwahiyo handling inakua $122.72
CORRIDOR LEVY ;
$0.3 plus vat per cbm
$0.3*14.621 = $5 + 18% VAT = $5.9
Kwahiyo Corridor levy inakua $5.9
WHARFAGE :
Hii huwa ni 1.6% ya thamani ya cif
Cif value ya gari yako ni $4,640
$4,640*1.6% = $74.24
Kwahiyo wharfage ni $74.24
TUJUMLISHE
Handling = $122.72
Corridor levy = $ 5.9
Wharfage = $74.24
= $202.86
Uki change kwa TZS inakua Tshs 476,000
Jumlisha agency fee (200,000)
Inakua Tshs 676,000
USHURU NA GHARAMA ZA KULETA HII GARI TULISEMA JUMLA NI
Tshs 21,772,621.19
Kwahiyo Tshs 21,772,621.19 jumlisha 676,000
Inakua TSHS 22,449,000 (Hiyo ndiyo budget kamili ya kumiliki hilo gari .. yaani hadi kuwa nalo mikononi .. bima haijajumuishwa)
Lengo la hii thread mzee,umesahau na kitu inaitwa SHIPPING LINE Ambayo hapa sijaona ukiiandika
ama za bandari na shipping line fff vvff laki 5!
Ni kweli kabisa kakaYa Ni Kweli unachosema lengo ni Kuelimishana Na ndio maana nilipopitia uzi wako sikuona shipping line nikakwambia umesahau au mimi sijaona. Na lengo la kusema Mimi sijui shipping line wana calculate vipi kwasababu pale unaponunua gari japan kila kampuni unayonunua wanafanya booking za meli na meli hizo huwa ni za kampuni flani sasa kwa experience yangu kila shiping line inakuwa na bei yake kwa gari aina hiohio japokuwa hazitofautiani sana ndio maana nikakueleza hapo kama unafahamu utusaidie
Kuhusu gharama nyingine naweza kusema Kwenye Calculator ya TRA wanakuwa wamekupa TOTAL Taxes ambayo inakuwa imejumuisha Vitu vifuatavyo
1:Import Duty
2:Excise Duty
3:Excise duty due to Age
4:VAT
5:Custom Processing Fee
6:Railway Dev Levy
7:Vehicle Registration Fee
Hivi vyote vinakuwa vimejumuishwa kwenye calculator ya TRA mfano calculator inaposema ushuru wa Gari X endapo itakuwa bei flani ni 4,646,169.91 maana yake bei hio imejumuisha vitu vyote hapo juu
Sasa baada ya hapo Kuna Gharama nyingine zinazopaswa kulipwa kama ifuatavyo
1: Shipping Line
2Port Charge
3:Wharfage
4:Agent Fee
Hivi ndio sasa zinakuja pia na nadhani hapo Ndio Umevifafanua vizuri sana hapo Juu Ila Gharama ya Agent Fee kuclear gari lako ni makubaliano yako wewe na kampuni husika ya kuclear
Mwenye kufahamu zaidi na zaidi anaweza kuendelea kutupa darasa pia
Hii ni 11mMkuu nipe gharama za hii kwa utaratibu wa kampuni yenu mpaka nakabidhiwa mkononi... https://sp.beforward.jp/toyota/ist/bg181348/id/1248470/?mfg_year_from=2005
Ahsante sana mkuu .. TawatafutaHii ni 11m
Na kwa utaratibu wetu, unaweza kulipia Tshs 8,250,000
Gari ikifika, unakabidhiwa
2,750,000 iliyobaki
Unamalizia kwa instalment
Yaani kila mwezi Tshs 393,000
Kwa muda wa miezi 7
Karibu.
Semsella Enterprises/ecarstanzania
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
Hii ni 11m
Na kwa utaratibu wetu, unaweza kulipia Tshs 8,250,000
Gari ikifika, unakabidhiwa
2,750,000 iliyobaki
Unamalizia kwa instalment
Yaani kila mwezi Tshs 393,000
Kwa muda wa miezi 7
Karibu.
Semsella Enterprises/ecarstanzania
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
Cif = Tshs 13,835,000
Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake.hivi calculator ya TRA haifanyi kazi hadi tuulize kienyeji!?
nilitegemea jamaa aweke link ya hicho kikokotoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Cif = Tshs 13,835,000
Ushuru = Tshs 14,170,000= 28,005,000
Handling = $7*13.896= $98+ 18% vat = $115.64
Corridor levy = $0.3*13.896 = $4+ 18% vat = $4.72
Wharfage = 1.6%*$3,470= $96
= $216.36= Tshs 508,00
Pllus agency fee 200,000
= Tshs 708,000
= Tshs 28,713,000 plus 30,000 ya plate number
Jumla Tsh 28,743,000
(Hapo hadi kuitoa bandarini na kuwa mikononi mwako, bima haijajumuishwa)
Na labda kama budget inakua imebana kwa sababu za wingi wa kimajukumu
Unaweza kuiagiza gari hii kupitia Semsella ENTERPRISES
Badala ya kulipia kwa awamu awamu ya hadi miezi 7
Unalipia 21,557,250 tu
Gari ikifika, unakabidhiwa
Tshs 7,185,750 liyobakia unaimalizia kwa instalment
Ya muda wa miezi 7
Kila mwezi Tshe 1,027,000
Instalment zinaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari lako.
Semsella Enterprises/ecarstanzania
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
Wakuu naombeni gharama za kuingiza gari kutoka Afrika kusini. Gari ni Toyota Hiace wagon, mwaka 2001, 2980cc, Fuel diesel, Seat 9. Bei ya hiyo gari kule ni kama 2000$ na itakuja kwa njia ya barabara(kuendeshwa)
Hii engine ni ndogo na kwa mileage ilizotembea itakuwa imechoka kama utalinunua basi muda si mrefu utakuwa unafanya repair tena kubwa kubwaWakuu,
Gari ya mwaka 2005, imetembea Km 205,000. Je inafaa kununua?
Toyota IST 2005
From Dec1st [tradecarview] becomes 【TCV】. Used TOYOTA IST 2005 for sale on TCV. Stock. Japanese used cars online market. Import IST NCP65 for US$1,500 from directly from Japanese exporter - TQM INTERNATIONAL CO.,LTD.. Japanese used cars - TCV. 24539926www.tradecarview.com
CC: RRONDO .
-Kaveli-