Kabla hajaharibika (shilole)

Kabla hajaharibika (shilole)

Hahahaaa!Naona na hiyo kaba shingo aliyovaa enzi hizo ndio fashion.
Ila mbona sioni lile jishepu jamani? Au nae ni mchina.com?
 
Naomba niletee na Nuhu tafadhali niwalinganishe mshana jr

1429991954780.jpgbado kinda hata kufanya ma2C hakajajua vizuri
 
Last edited by a moderator:
Who the hell is shilole? bongofleva au bongomovie?
 
Itakuwa kapitia vishawishi sana kwa uzuri huo halafu ukose usimamizi mzuri lazima alitumika mapema sana#ila alikuwa mzuri sana
 
Back
Top Bottom