Kabla editing haijafanyika mwilini mwake

Madushe yamemnenepesha na kulegezwa hoi kabisa
 
Yaani huwa nabaki kushangaa tuu!!Ile ni super editing!!facial and chick lift,rangi ya kiarabu,nywele zake halisi sijawahi kuziona,mikucha,macho ya paka,t.ako na hips mdebwedo,sauti babydoll!!Kah amejikana kila angle!kalikuwa kazuri jamaniii

ama kweli ni super editing...
 
sijui akili zao zinaongozwa na mijusi aaaghrrrr
 
Alikuw mzuri not sasa hivi

Bado mijitusi anayotoa mdomoni mwake km ndo mkeo yule unaweza zimia. Diamondi nilishindwa kimwelewa kwa yule demu tu. Anapiga jeki maziwa hadi matako! Bora vdem vya uswahilin kwetu vinavujia sio yule bna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…