Kabila Vs Shepu (angalia Picha)

maneno Tanga kwa wabondei na wazigua, ukfika kwa Wasmbaa na Wadigo ndio utaijua Tanga vizuri
 
Kikitoka kifaa chenye mchanyato wa kichaga na kiluguru hivi kinakuwaje?
 
mbona hakuna wakurya na wasukuma jamani?
 
Wanyakyusa wametisha hehehehehihihihihihuhuhuhuhh........mabaunsa huhuhuuuhuh
 
Aaaiseee duh kule West Kilimanjaro jamani ni bhalaa yaani vitu safii sana !!
 
Ila kiukweli Wanawake wa Kichagga richa ya kupenda Maendeleo na Elimu Mwenyezi Mungu amewajalia sana kuwa NIDO KUBWA!!!!
THEY MUST BE PROUD OF IT,,,,,,!!!
 
Hahahahahahaha lol!!!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…