Kabila lenye utajiri ndani ya ndoa


Nahisi hapo ulimaanisha Mbalelo 30
 
Mmmh sina uhakika na hilo, nilishakutana na mtoto wa kimasai pale Arusha, nikamgegeda, alirusha mkojo mpaka godoro likawa ndembendembe, kesho yake wahudumu walinipiga faini, nikawapoza na sh 5,000.00, Huyu alikuwa hajakeketa!!!!!!

ulimpiga katerero nn?
 
Sasa hakuna watu expensive kama wadada wakikwetu Maasai hoyee af tunawaambia hamna kutoa kwa maswazi zao special kwetu sisi
 
Tuko juu japo hii mitandao inatupelekeshaa ila respect kwa waume zetu muhimuu... Si ninyii waswahili mwanamke unaitwa unaitika... Niniiii unasemaje? Niko hukuu njooo... sisi kwetu ukiitwaa unaitika kwa adabuu na mtu yeyote kwa mume unaitika kwa adabu na unyenyekevu zaidii ukiitika Eeeeeeeeewoooooooooo..... huku unakimbia ulipoitwa na unasemeshwa umeinamisha kichwa kwa nidham sio ninyi unamkodolea mtu mimachooo mpk yeye vinamshukaa anashindwa akwambie ninii.. maana umemsimamia kama israili mtuo rohoo huku ukimwambia vp unasemajee alafuu nina kazi nimeacha embu sema haraka mi ninashughl zangu...! saaasaaa kwa staili hiyo atakwambia kitu kweli???
 


Ha ha ha ha mkuu unaonekana mchumi kweli kweli wewe..
All in all kila m2 na test na preference zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…