Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
haaa mie ni mpare sina jungu hata mojaNdugu zangu, sina uzoefu na hili lakini pia sina uhakika nalo.
Baada ya kupata ajira miaka kadhaa iliyopita, nilichukua likizo ya mwaka na kuamua kwenda kwa wazee wangu kupumzika. Nilipokuwa naongea na mzee wangu kuhusu maisha yangu kazini, aliniuliza iwapo ofisini kwetu kuna wapare. Nikamueleza kuwa, lah ofisini kwetu hakuna Mpare. Sikuishia hapo, bali nilihoji "Sababu za kuulizia uwepo wa Wapare".. Jibu alilonipa ni kuwa," Wapare ni watu wa majungu sana ". Sikuipa uzito sana dhana yake, kwani nilihisi labda alishawahi kufanyiwa majungu na Mpare mmoja nae akaamua kuwahukumu wote.
Miaka ikapita, na nikapata uhamisho kuhamia mkoa mwingine. Nikampigia simu rafiki yangu kumjulisha uhamisho wangu. Huyo rafiki yangu, amenizidi zaidi ya miaka 20! Nilipomjulisha kuwa, nimehamishwa, akasema "Omba Mungu unapohamia, ofisi yenu isiwe na Wapare".. Nikakuuliza" Wapare wana nini? ".. Jibu alilonipa ni kuwa, ofisi yenye Wapare huwa haina utulivu.
Kilichonifanya kuuleta uzi huu, ni kuwa, Siku za karibuni nilikuwa katika daladala. Jirani yangu kilikuwa na watu wawili wanaongea, na inavyoonesha mmoja (ambaye alikuwa anasimulia) anafanya kazi katika Kampuni ya Usafirishaji. Yaani anaendesha magari ya mizigo kwenda nchi jirani zetu. Katika maongezi yao, kijana huyo alikuwa akionesha kuwa, hana furaha kazini na anafikiria kuacha kazi. Mwenzake akawa anampa moyo na kumjaza matumaini. Yule aliyekuwa akisimulia akasema "ile kampuni yetu imejaa Wapare, haiwezi kukaa sawa"
Kwa wenye uzoefu wa kufanya kazi ofisi moja na Wapare, je Wapare ni watu wa kufitinisha? Au haya yametokea tu accidentally?
Kama wote ni mabinti hiyo ni issue nyingine hata angekua mhaya majungu yasingeisha as long wote ni mabint na ugonvi wenu unajulikana tu ni wa aina gani.Aaaahaaaaa nimecheka kweli mimi ni bint wa kipare ila nilikua nafanyiwa fitna za ajabu na Bint wa kichaga Alhamdulilah now nimeachana na mambo Ya kuajiriwa nafanya yangu
Roho mbaya sana hiyo na wivu ndani yake naona ukabila unakuja kwa kasi sana Tanzania.Mimi nilisikia kwenye maongez ya watu flan wakisema eti wakimkuta mpare anang'atwa na nyoka porin watamuua mpare nakumuacha nyoka aende. Ila ni imani tu na chuki watu wamejijengea kwa makabila flan flan. Umbea majungu fitina hila ghilba na ushirikina makazin ama sehem yeyote ile ni HULKA YA MUAFRIKA MWEUSI baas
Kama wote ni mabinti hiyo ni issue nyingine hata angekua mhaya majungu yasingeisha as long wote ni mabint na ugonvi wenu unajulikana tu ni wa aina gani.
Ndugu zangu, sina uzoefu na hili lakini pia sina uhakika nalo.
Baada ya kupata ajira miaka kadhaa iliyopita, nilichukua likizo ya mwaka na kuamua kwenda kwa wazee wangu kupumzika. Nilipokuwa naongea na mzee wangu kuhusu maisha yangu kazini, aliniuliza iwapo ofisini kwetu kuna wapare. Nikamueleza kuwa, lah ofisini kwetu hakuna Mpare. Sikuishia hapo, bali nilihoji "Sababu za kuulizia uwepo wa Wapare".. Jibu alilonipa ni kuwa," Wapare ni watu wa majungu sana ". Sikuipa uzito sana dhana yake, kwani nilihisi labda alishawahi kufanyiwa majungu na Mpare mmoja nae akaamua kuwahukumu wote.
Miaka ikapita, na nikapata uhamisho kuhamia mkoa mwingine. Nikampigia simu rafiki yangu kumjulisha uhamisho wangu. Huyo rafiki yangu, amenizidi zaidi ya miaka 20! Nilipomjulisha kuwa, nimehamishwa, akasema "Omba Mungu unapohamia, ofisi yenu isiwe na Wapare".. Nikakuuliza" Wapare wana nini? ".. Jibu alilonipa ni kuwa, ofisi yenye Wapare huwa haina utulivu.
Kilichonifanya kuuleta uzi huu, ni kuwa, Siku za karibuni nilikuwa katika daladala. Jirani yangu kilikuwa na watu wawili wanaongea, na inavyoonesha mmoja (ambaye alikuwa anasimulia) anafanya kazi katika Kampuni ya Usafirishaji. Yaani anaendesha magari ya mizigo kwenda nchi jirani zetu. Katika maongezi yao, kijana huyo alikuwa akionesha kuwa, hana furaha kazini na anafikiria kuacha kazi. Mwenzake akawa anampa moyo na kumjaza matumaini. Yule aliyekuwa akisimulia akasema "ile kampuni yetu imejaa Wapare, haiwezi kukaa sawa"
Kwa wenye uzoefu wa kufanya kazi ofisi moja na Wapare, je Wapare ni watu wa kufitinisha? Au haya yametokea tu accidentally?
Justify!Kiukweli wapare ni wasumbufu sana,wakorofiii wapenda majunguu wafitini sana mi pia ninao kazini hapa,ni sheeedaah jirekebisheni buanaa