Kabila la wamanga

Kabila la wamanga

mgesela

Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
37
Reaction score
9
Assalam alaikum ndugu zangu, samahani nimekuwa nikisikia ooh ana rangi ya Kimanga mara anaonekana mmanga n.k .

Hivi kuna kabila la wamanga? Na kama lipo linapatkana wapi.

Natanguliza shukran
 
Hakuna kabila la wamanga hicho ni kiswahili cha kihuni tu maanake ni mwarabu bas anajifanya mmanga yaan anajifanya mwarabu

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 
magomeni mikumi, lango la jiji ndio yupo chifu wao ilala wapo pia bila shaka unguja huko wanajiita majina ya kibantu utasikia wakijiita masalan karume au jongo hawa jamaa ni wang'olea mpunga wazuri huko mbalali, namanyele wanasaidia kupiga
tunguli.
kwani unawatafutia nini cha mno, kigoma ujiji wamejaa, uvinza kwenye chumvi ndio walipozamia, kama uko tanga pwani huko ndio kwao.
 
Mkuu nanawoo uko sawa kabisa,Mmanga maana yake ni Mwarabu,ni Kiswahili kisichokuwa rasmi,wala hakuna kabila la "Wamanga"
 
Wamanga ni Waarabu wa Oman na Washihiri ni Waarabu wa Yemen.
 
Duh!shughuli inakuwa pevu hapa na mnyukano wa majina mara utasikia mburushi huku mmahara huku mshihiri kazi kwelikweli.
Mkuu mburushi sio mwarabu, ni mpakistani kutoka Baluchistani na Karachi,na lugha yao ya asili sio kiarabu ni Kibulushi,

Wayemeni ndio waarabu wa kwanza kabisa hapa Duniani kabla ya kugawanyika katika mataifa mbalimbali,yaani waarabu wote asili yao ni Yemen,Kwahiyo Mshihiri ni mwarabu kutoka Yemen
 
Thanks kwa ufafanuzi wako pamoja sana ndugu yangu .
 
Back
Top Bottom