Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,117
Acheni upumbavu mpaka leo mnawaza makabila?
Izo ni facts tu kama tukisema tuna simba; kwani nimesema Usukuma ndo uwe default idenitity ya watz?? Tumieni akiliUpuuzi tu.
Watu wanajadili maendeleo na teknolojia karne hio unaleta habari za makabila.
Grow up dude.