kabila gani

kabila gani

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,744
Reaction score
4,354
jamani wana jamii, hivi ni kabila gani nasikia ukiwapa pesa wafikishe sehemu, pesa inafika salama, lakini ukiwaachia mke wako wamsindikize hata sehemu lazima wamchakachue hata kwenye majani ,

hao jamaa nasikia wakikaa na demu wako ujue lazima demu aliwe,
hebu tukumbushane ni kabila gani hilo,!!!!!
 
Kama huna kitu cha maana cha kupost hapa, kakojoe ukalale!
 
Hii thread imekaa kichit chat zaidi...sidhani kama kuna maudhui yoyote hapa!!
 
Kwa hiyo huyo demu wako ana ubongo wa kushikiwa?

Puliiz, acha kufanya wanawake kama objects. Unatukana uelewa wao
 
Ngoni is a tribe of war! We fought so many a tribe before settled at Songea! Ask hehes, nyamwezis they will tell you who a Ngoni is. Have you read any book concernin Ngonis? Hiyo ni historia tu lkn kuhusu hiyo issue sikubaliani nayo lkn once a girl go for a Ngoni hata kwa bunduki hatamwacha! Tunajua how to treat a girl, try us you wont regreat!
 
Huu udaku!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
jamani wana jamii, hivi ni kabila gani nasikia ukiwapa pesa wafikishe sehemu, pesa inafika salama, lakini ukiwaachia mke wako wamsindikize hata sehemu lazima wamchakachue hata kwenye majani ,

hao jamaa nasikia wakikaa na demu wako ujue lazima demu aliwe,
hebu tukumbushane ni kabila gani hilo,!!!!!

ni wasabi hao..
 
Hivi Maalimu Sefu kabila gani vile?
 
nanawa miguu nilale maana nimepata butwaa.
 
Ila hawapendi kkuoga.

Ngoni is a tribe of war! We fought so many a tribe before settled at Songea! Ask hehes, nyamwezis they will tell you who a Ngoni is. Have you read any book concernin Ngonis? Hiyo ni historia tu lkn kuhusu hiyo issue sikubaliani nayo lkn once a girl go for a Ngoni hata kwa bunduki hatamwacha! Tunajua how to treat a girl, try us you wont regreat!
 
nanawa miguu nilale maana nimepata butwaa.

'miguu'....!!! wakati nio mdogo mama yangu wa kambo usiku baada ya kula alikuwa amezoea kusema 'naenda nje kunawa miguu'. mimi nilikuwa nikujua anaenda kunawa 'miguu'=='miguu'. siku moja nilimshuhudia akinawa 'miguu'== 'papu*chi'! ndipo nikajua maana ya mwanamke kunawa miguu! so, do you do the same?
 
mmmmmmh hilo nalo toleo jipya,mi nanawa miguu tu,yaani mama'ko alikuwa anapiga passport!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom