Nimeishi mikoa mbali mbali hapa tz, kwa unywaji wa pombe mkoa wa kilimanjaro kwa wilaya za rombo, moshi, hai na sia ni hatari. Hakuna sehemu Tanzania wanakokunywa pombe kama huko. Huko wanakunywa watoto wanawake, vikongwe vijana nk. Na kuna aina za pombe zaidi ya 100. Mikoa ya kusini na nyanda za juu kusini wanywaji ni wachache sana na ulokole umetamalaki sana