Chuma au tubomba twa chuma tunapinda nilinunua ndio maana nawaaasa wengine wasipate hasaraHapan frame yake ni chuma mkuu
Naweza tupia picha zilivyo nimenunua wiki tatu imepita tayari limeharibika
Acha uongo wewe chuma unaijua wewe??? plastic tupuHapan frame yake ni chuma mkuu
Nipo kazn nikirudi nyumbani napiga natupia
Ni mabovu Sana viunganishio ni vya plastic vinapasuka ukiweka nguo msinunue mtapoteza hela kama mm