Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 400
- 811
SIMBA DAY CUP!!Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo
1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua
2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA
3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga
4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi
KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
MO Arena CupUkibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo
1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua
2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA
3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga
4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi
KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
Busara ilikuwa ni kutaja makombe yaliyopo pale Utopolo ambayo Simba hana. Simple.Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo
1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua
2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA
3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga
4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi
KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
Kama MO Arena CupBusara ilikuwa ni kutaja makombe yaliyopo pale Utopolo ambayo Simba hana. Simple.
Akili za UtoKama MO Arena Cup
Akili za KikoloAkili za Uto
Kuna Kombe moja hujalitaja! Na hilo kombe aliliandaa yeye mwenyewe, na mwisho wa siku mshindi akawa yeye mwenyewe. 😫😫Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo
1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua
2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA
3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga
4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi
KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
Rage: "Simba ni Mambumbumbu"
Kombe linaitwa MO Arena CupKuna Kombe moja hujalitaja! Na hilo kombe aliliandaa yeye mwenyewe, na mwisho wa siku mshindi akawa yeye mwenyewe. [emoji31][emoji31]
Nakumbuka alivialika vilabu vya Tp Mazembe, El Merreikh na El Hilal za Sudan, na timu gani sijui ile! Ule mwaka jana! Simba bhana! [emoji16][emoji16]
Rage: "Simba ni Mambumbumbu"
Kagame cup ya CECAFAUkibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo
1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua
2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA
3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga
4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi
KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
Simba anayo sita Yanga anayo matano na Azam pia analo sasa kipi alichonacho Simba wengine hawanaKagame cup ya CECAFA
Simba pia ana mkiaSimba anayo sita Yanga anayo matano na Azam pia analo sasa kipi alichonacho Simba wengine hawana