KABAAANG! 300mins & Unlimited(Internet+SMS)/wk...

KABAAANG! 300mins & Unlimited(Internet+SMS)/wk...

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
640
Nimeona hii kitu kwenye tiGo leo...
Kwa kawaida mimi huwa ni wa mwisho kujiunga na hizi promo,naomba wale wazee wa kujilipua watupatie majibu kuhusiana na speed.Maana isijekuwa yale ya fokoda,baada ya 700mb,unapata kitu cha tortoise...

Wanasema unatuma neno:KABANG kwenda 15711 kwa tsh 9000/- Unapewa dk.300 kwenda mitandao yote na unlimited internet na sms kwa wiki moja.
 
Anyway,hata hizo 300mins naona imekaa vizuri,tofauti na voda..
 
Kujilipua bado wakuu ila hii megabox plus ya siku kwa tsh 700 na hata ya 8500 kwa wiki ni za ukweli .
 
Kwani wanaachia speed mwanzo mwisho,au inakuwaje boss?
Maana mi naona hii inafaa zaidi kwenye phones kuliko pc.
Juzi nimeunga ya 750 nikaja kumaliza jana speed ya download kwa dashboard ni 122-230 KBps nimepakua 4gb bila chenga.
Jaribu leo ila usistream youtube wala site nyingine hadi ukamue 1 gb kwanza then lete mrejesho nyuma.
 
Inaweza ikawa mwokozo manake airtel wamekwisha tutenga maskini
 
tatizo la tigo ni kwamba wanalimi mb za kudownload...kama ile megaboksi ukidownload files za 50mb wanakata ability ya kudownload ila unakuwa unasurf tu
 
tatizo la tigo ni kwamba wanalimi mb za kudownload...kama ile megaboksi ukidownload files za 50mb wanakata ability ya kudownload ila unakuwa unasurf tu
Jaribu kusurf na kudownload bila ya kufungua youtube au stream yoyote then lete feedback
 
Vipi kwa Blackberry?naunga na airtel Genge haifungui youtube wala nini,vipi kwa tigo?inaweza kuwa na unafuu wowote?wajuvi tafadhali mnihabarishe.
 
Gefu ameahidi kujilipua.. Tunasubiri alete feedback.
 
duu hebu mnijuze kama inafaa, maana nmepanga kujiunga baada ya kuthibisha
 
kabaang.... nani awe skape goat hapa????hakuna aliejiunga atupe data,,,,,??????
 
Back
Top Bottom