Kaanzisha mahusiano mengine akiwa na mimba

Ahudumie nini Sasa wakati mwanamke ni kisirani? Huyu mwanamke hajakutana na wanaume watata. Halafu acheni kuwa mnasingizia eti mimba inamuendesha. Mimba haibebwi kichwani.
Mwanamke mwenyewe kashaanza kujiliza hajala tangu asubuhi kwamba vitu havipandi
Mara nimnunulie nguo za ujauzito, pamoja na hayo yote, wala simnunulii chochote ale jeuri yake
 
Ilikuwa ngumu mkuu kupotezea akiwa na kiumbe, ambacho nina imani ni changu, ila hii ya sasa hivi naona imezidi kipimo.
Huwaga wanaume tunavurugwa sana saikolojia kwenye masuala ya uzazi na mimba!

Labda nikuulize mkuu, hauna mtoto uliyezaa kabla hata na mwanamke mwingine?

Una wasiwasi sana na urijali wako siyo?

Utasemaje kwa kujiamini kwamba mimba ni yako?

Una uthibitisho gani wa kidaktari juu ya uhusika wa mimba hiyo?

Uelewe siku za hatari mwanamke akilala na wanaume zaidi ya m1, kwa mfano wa3 au wa4, kizazi ndiyo huamua kipokee mbegu za nani.

Na pia kuna uwezekano wa kutungwa mimba ya mapacha wasiofanana kwa baba wawili tofauti, kama anaitembeza kisawasawa.

Mimba haing'ang'anizwi ama kugombaniwa.
Halafu unaumizaje kichwa ku handle mwanamke malaya?

Embu tulizana bw mdogo, fuata taratibu zifaazo uoe.

Wachumba waliotulia wapo wanasaka waoaji, utapata atakayekufaa na kujenga naye maisha yenye staha.

Achana na hao viruka njia.
 
Kwanini?.

Kuwa mlezi wa mimba ya mwanamke ambaye kaletwa na mwanaume wake hospital? Au umemaanisha tofauti?
Eeh kuwa mlezi wa mimba ya mwanaume mwenzie

Wanaume wachache wana moyo wa huyo doctor
 
Huwaga wanaume tunavurugwa sana saikolojia kwenye masuala ya uzazi na mimba!

Labda nikuulize mkuu, hauna mtoto uliyezaa kabla hata na mwanamke mwingine?

Una wasiwasi sana na urijali wako siyo?

Utasemaje kwa kujiamini kwamba mimba ni yako?

Una uthibitisho gani wa kidaktari juu ya uhusika wa mimba hiyo?

Uelewe siku za hatari mwanamke akilala na wanaume zaidi ya m1, kwa mfano wa3 au wa4, kizazi ndiyo huamua kipokee mbegu za nani.

Na pia kuna uwezekano wa kutungwa mimba ya mapacha wasiofanana kwa baba wawili tofauti, kama anaitembeza kisawasawa.

Mimba haing'ang'anizwi ama kugombaniwa.
Halafu unaumizaje kichwa ku handle mwanamke malaya?

Embu tulizana bw mdogo, fuata taratibu zifaazo uoe.

Wachumba waliotulia wapo wanasaka waoaji, utapata atakayekufaa na kujenga naye maisha yenye staha.

Achana na hao viruka njia.
1.Sina mtoto, niliwahi pata akafariki

2.Kuhusu kusema kwamba mimba ni yangu, ni mazingira ya upatikanaji wa mimba hiyo, tulipanga kupata mtoto, tarehe za hatari zilipotimia likatekelezeka, nilikuwa naishi naye kwa kipindi hicho sasa sijajua kama kuna namna nyingine.

3.Asante kwa ushauri, nimeamua kutulia nione muafaka wake.
 
Wewe ni Fala ndio maana unapata matokeo ya kifala.

Nikupe uzoefu wangu.

Miaka mitatu iliyopita nilikuwa na Manzi tulikuwa tunapendana sana. Alikuwa na asili ya watu wa tabora lakini shombe shombe.

Mapenzi yalinoga. Alikuwa akija kwangu nami siku moja moja nilikuwa nikienda kwake. Yeye alikuwa anakaa Sinza Mori nami nilikuwa nakaa sinza Kwaremi.

Siku moja nikiwa kwake mida ya usiku. Simu yake iliita. Niliona wasi wasi machoni pake. Akaniomba aipokee na atanieleza baadaye.

Aliyekuwa akiongea naye niligundua ni mwanaume ambaye bila shaka alikuwa ni mpenzi wake. Roho iliniuma kama mwanaume. Niliona kama dharau. Hasira zilinipanda nikataka nimpokonye simu lakini subira na uvumilivu vikanionya.

Alipomaliza alijitia kuniomba msamaha. Thubutu..Mimi siombwi msamaha kwenye kosa la makusudi hata siku moja. Siku mjibu. Niliondoka kwenda kwangu ingawa alinivuta nisiondoke. Ni mpaka nilipomchapa kofi moja kali ndio akaelewa kuwa nataka kuondoka.

Wiki iliisha nikiwa sipokei simu yake wala kujibu text zake. Wikiend alitimba ninapoishi. Alinielezea kinagaubaga kuwa Yule aliyekuwa akiongea naye ni Mpenzi wake wa zamani walioachana miezi miwili iliyopita.

Aliendelea kusema kuwa ananipenda mimi. Na hawezi kumrudia Ex wake. Aliongea akilia huku akiwa amepiga magoti. Hata hivyo mimi ni kijana ninayewafahamu fika wanawake. Nawaelewa sana.

Nilijifanya nimemsamehe sio kwa dhati bali ni kwa sababu nilitaka kula papuchi yake muda ule.

Labda ungetamani kujua binti yule alionekana vipi. Ni hivi..Mnyamwezi yule alikuwa mrefu wa futi tano unusu mwenye sura nzuri iliyozidi Wastani. Macho yake makubwa yalimfanya azidi kuonekana mrembo. Alikuwa na Tako kubwa kiasi na miguu minene. Nadhani sasa umeshapiga picha na angalau unaweza kubaliana na mimi ni kwa nini niliamua kumsamehe ili nipate papuchi yake.

Aliniuliza nina mpango gani na yeye. Kwa kweli kutokana na alichokifanya nilimjibu dry kuwa sina mpango wowote na yeye. Aliumia akaanza kulia tena huku akiomba msamaha. Alijua ni kutokana na simu ya ile siku.

Baada ya miezi miwili. Alinipa taarifa anamimba. Na ile mimba ni yakwangu.

Sikutaka kumkatalia wala kumkubalia. Ingawaje yeye alitaka nimkubalie kwa nguvu kuwa ile mimba ni yangu.

Nilipoona ananipanda kichwani kwani alikuwa akinipeleka peleka nikaona huyu ngoja nimnyooshe.

Yeye kuona namnyoosha akanisemea kwa ndugu zake. Nikaitwa Kwenye kikao cha ndugu pale Sinza Kumekucha. Nikaenda. Nilimkuta Mama yake mdogo na Watu wengine wazima kama watatu hivi.

Kikao kilianza. Agenda ikiwa Mimba ya haka kamanzi.
Walitaka kujua kama naitambua mimba ile kama yake.

Nikatoa hoja za kuitambua na kuokataa.
Hoja za kuitambua
1. Siwezi ikataa mimba hii moja kwa moja kwa kuwa Binti huyu alikuwa mpenzi wangu. Na tumefanya naye mapenzi mara kadhaa.

Hapa waliungana na mimi.

Hoja za Kupinga.
1. Siwezi kukubali moja kwa moja kwa sababu kwanza sina ushahidi wa wazi kuwa binti huyu anamimba kweli. Hii ni kutokana tumbo lake bado halionyeshi na sioni tofauti yoyote ya yeye wa mwezi uliopita na yeye wa leo ajiitaye mwenye mimba.

Nikaongeza. Hapa DSM zipo kesi za watu kuhudumia mimba bandia na kuishia kutapeliwa.

Hoja hii ilipingwa pale pale. Lakini mimi nilisisitiza kuwa Mpaka muda ule siamini kama binti yule anamimba. Hivyo napaswa kuthibitishiwa.

2. pia hata kama ikithibitika anamimba bado sitakuwa mwepesi kuikubali mimba hii kutokana na kuwa mtoto wenu hakuwa na mimi peke yangu bali alikuwa na mwanaume mwingine.

Kuhusu ushahidi katika hili nilisemalo yeye mwenyewe atautoa ule wa SMS nilizoziona na call alizokuwa anaongea naye.

Wakamuuliza ni kweli unamwanaume mwingine zaidi ya Joka. Akajibu hapana.

Nilichukia mno tena sana kwa Yule binti kuniruka ilhali yote niliyoongea sikumsingizia.

Hapo ndipo nilipochafua hali ya hewa.

Mwishowe alisema ni kweli alikuwa na mtu mwingine lakini hakukutana naye zaidi ya miezi mitatu.

Nilitoa maazimio kuwa mimi nitalea mimba hilo wala halitanitatiza lakini mtoto atakapozaliwa tutajua ukweli.

Alipofikisha miezi saba akabadilika tena. Ati ananambia kuwa mimba haikuwa yangu na alinisingizia tuu. Hivyo niachane naye kwani mwenye mimba karudi

Nikamuambia wala asijali. Na mimi nimeachana naye wala sioni tabu. Ukweli ni kuwa japo nilimsemea maneno yakishujaa lakini roho ilikuwa ikiniuma sana.

Pia nakumbuka niliwahi kumuambia siku atakayosema tuachane hata kama alikuwa anatania au anahasira basi siku hiyo tutakuwa tumeachana kweli.

Tuliachana rasmi.

Mtoto akazaliwa yule mwanaume akamuacha. Inadaiwa kuwa alikuwa na wasi wasi na yule mtoto. Hata taarifa zangu alikuwa amezipata.

Ikabidi anipigie kuwa anataka kuonana na mimi. Nikakutana naye akiwa na mtoto wake ambaye alikuwa na miezi sita. Yule mtoto alikuwa kafanana na mimi kwa asilimia kubwa. Nilifurahi kumuona pacha wangu.

Alinieleza kilichotokea huku akiniomba msamaha turudiane tulee mtoto wetu.

Nilimuambia mtoto tutamlea lakini siwezi ishi na wewe. Huna sifa za kuwa mke wangu ingawa umekuwa mama mtoto wangu.

Akaanza kunizingua na kunitisha kuwa ataniloga. Nikampa laki moja pale pale ya kwenda kumtafuta mganga atakayeweza kumsaidia kuniloga mimi. Nikamuambia kama hiyo haitoshi utanipigia simu.

Nikamuacha hapo ameishika laki moja akinitazama nikipotea.

Mpaka leo anapiga piga tuu simu hana jipya ingawa namsaidia baadhi ya majukumu yake binafsi na mtoto kwani najua yeye ni mama wa mtoto wangu.

Usitishiwe na Mwanamke Mkuu. Akiondoka mwambie asirudi
 
Nzuri snaa
 
Vijana wa kiume siku hizi hawapo

Sijui hormone zao zimeenda likizo au vipi?

Mwanamke unampiga kisaikolojia mpaka anakojoa
 
Unapoteza tu muda. Kuna haja gani ya kufuatilia vyote hivyo?. Wewe endelea na maisha yako mengine,achana na huyo sholi. Hata mtoto achana nae usitafute hata siku moja kujua habari zake. Kama mtoto ni wako atakuja tu
 
Sawa mkuu, imekaa vizuri sana hiyo, ila huyo mwanamke alikuwa kichomi sana
 
Wakuu habari ya asubuhi.

Moja kwa moja niende kwenye mada, huyu mwanamke nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa, kuna wakati alishika ujauzito, tukakubaliana kulea mimba hiyo, basi tukalea mpaka ilipofika miezi mitatu ndio balaa likaanza, yeye kutaka tuachane.

Kuna siku alikuja kunitembelea, alipofika akawa anachat sana na simu nikamuuliza vipi mbona uko busy na simu? Akanijibu "hata hivyo ni simu yangu" nilichukizwa na jibu hilo nikanyamaza, nikampa muda zaidi, nilivyoona kazidisha nikamnyang'anya hiyo simu nikaiweka pembeni, basi tukaendelea na mazungumzo, wakati simu yangu mimi iko pembeni ilipigwa na sms ziliingia ila sikupokea wala kusoma sms, baada ya muda nikasema ngoja niichungulie, nikajibu sms za muhimu kwa dakika chache, nikamrudia tukaendelea kuongea, tukamaliza tukaagana akaenda.

Alipofika nyumbani, akaniuliza hivi ulinionaje pale ulivyokuwa unajibu sms mimi nipo pale, nikamueleza vizuri kuwa nilijibu kuwa kuna ujumbe wa muhimu nilitumiwa, basi akaanza kusema hanitaki tuachane, sikumtilia maana nikihisi ni hali ya mimba, ila aliendelea kukaza msimamo wake, baadae nilikuta ameniblock njia zote, sms, calls whatsapp, njia zote za mawasiliano nikawa simpati, hiyo hali ikaendelea kwa week mbili.

Jana ndipo alinitumia sms ya kunijulia hali, nikamuuliza mustakabali wa mahusiano, akanijibu kuwa kashaanzisha mahusiano mengine, yana wiki moja, na amemueleza huyo mwanaume kuhusu mimba akakubali kuilea, nikamuuliza sababu ya kufanya hivyo endapo mimi mhusika wa mimba hiyo nipo na nimekubali kuilea akaniambia ni kwa sababu mimi hawezi kunitambulisha kwao kama baba wa mtoto, nikamueleza sio vizuri alivyofanya, nikamuuliza kuwa kuhusu suala la clinic akasema kuwa nikitaka nitampeleka au nisipotaka huyo jamaa atampeleka! akiwa katika mizunguko yake na huyo jamaa siku ya jumatatu nimpitie nimpeleke clinic.

Nikauliza kuhusu hatma ya mtoto alichonijibu kuwa mtoto atakuwa na baba yule atakayefahamika kwao kama baba mtoto na mimi nitakuwa kama baba mzazi, kitu asichoweza ni kunitambulisha kama baba mzazi wa mtoto na yule jamaa anafahamu hilo kuwa mimba ni yangu ila yeye ni mlezi, sasa wakuu niko njia panda.

Mtu aliyeamua kuwa nae ni doctor wa hospital ambayo nimekuwa nikimpeleka kwa ajili ya kucheck ultrasound scan, mwanzoni nilikuta mawasiliano yao akasema amemcheck kwa ajili ya issue za kiafya nikamzuia asiwasiliane naye, kumbe hakufanya hivyo aliendelea kuwasiliana nae kwa siri, ndipo imefikia mahali hapa.

Nifanyeje.
Hawa mabinti wavuta bange huwa mnawaokota jalala gani?!

Maana mtu anakuonyesha wazi kabisa kuwa hana akili sawa sawa ana utindio wa ubongo na wewe unamzawadia ujauzito, mbona vijana wa siku hizi mnawakosea sana watoto wenu kwa kuwapa mama wakosa akili kiasi hiki?!
 
Lala we jamaa
 
Back
Top Bottom