eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 310
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?
We jamaa una moyo kweli!!unatembea na mtu mwenye ngwengwe?..mmmh..
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?
Aisee........nikisikia hizi ishu huwa naogopa sana
ukute na wew unayo au utapata,usinyoshe vidole..any1 can get HIV
Aisee........nikisikia hizi ishu huwa naogopa sana
Aisee........nikisikia hizi ishu huwa naogopa sana
Mara ya mwisho mimi kupimaga hii kitu kuna contract ya kazi nilipata ughaibuni na medical examination ilikuwa ni lazima, nikasalimika
Lakini kwa hiyari yangu bila kuumwa nchi hii mimi bado hujanipisha vipimo vya hiyo kitu.
Tangu ule mkasa wa Agha khan hospital walipovunja uchumba wa watu kwa wao kutotoa vipimo sahihi kwa kweli sipimi ng'o nchi hii.
hahahaaaaa hiyo ishu ya Agha khan nimewahigi kuisikia...........
mie niliendaga ila kitambo kidogo na sa hivi nna mpango wa kwenda ila naogopaje........