Ukoo wenu nimeupenda! Yaani kamaliza chuo mwaka juzi, mshahara laki 9 (na wewe unajua. Hivi ni gross ama take home?). Na vikao vimeshaanza vya kumtaka aoe. Akioa huyu baada ya miezi mitatu mtakaa kikao kuuliza mbona mkewe hana vichefuchefu!
Hana tofauti na bro wangu,na yeye ana miaka 40 hana mke,hana mchumba na wala hana mpango wa kuwa na mwanamke maisha yake yapo fresh hela anayo kwa hiyo ni lifestyle tu ya mtu