Asante mkuu dawa ni kuanzaHongera sana mkuu sio kazi rahisi.
Nakita kambi apa.
Asante mkuuHongera. Sasa umekuwa mwanaume wa shoka.
Tulitumia nondo 28 ikiwemo hivyo vipisi vya kuja kujengea nguzo za ubaraza.mkuu mkanda wa msingi umewek nondo ngap ngapi
Mkuu kipaua kulikugharimu bei gani na nyumba sqm ngap. Maana mimi nimetenga 7 mls hope itatoshaNimepaua n'a kupiga plasta(+wiringi n'a Maji)
Aiseeeee acheni Tuu
Ni mashimo mawili kubwa na dogo. Sikutaka kujenga haya mashimo ya kisasa maana kuna wengine yanawapa changamotom halafu nilitala jenga moja tu kubwa fundi akanielezea mechanism ni kwanini yanakuwa mawili moja dogo la rectangle na kubwa la circle.Mbona mashimo mengi mkuu, yote hayo ni ya nini??
Mambl ya ufundi ni kumpata fundi sahihi bila shaka fundi angekua sawa boss, miezi kadhaa ijayo ungejutia maamuzi yako.Ni mashimo mawili kubwa na dogo. Sikutaka kujenga haya mashimo ya kisasa maana kuna wengine yanawapa changamotom halafu nilitala jenga moja tu kubwa fundi akanielezea mechanism ni kwanini yanakuwa mawili moja dogo la rectangle na kubwa la circle.
Dogo linakuwa limesakafiwa vizuri na linakuwa na maji ndani halafu na ukuta flan, kinyesi kikija kinagonga kwenye ukuta kinachambuka maji yakifka level fulani yanahamia shimo kubwa ambalo lina matundu na halijasakafiwa hivyo maji yanapenda chini. Pia shimo dogo coz linabaki na maji linazuia harufu kurudi.
Baada ya kunieleza nikajua kwanini yanakuwa mashimo mawili nikaamua poa hata kama inacost bora ni jenge hivi. Halafu kwetu tulikuwa wengi tulihamiaga 99 mpaka leo hayajawahi kunyonywa wala kujaa na ni mashimo mawili. Mind you tulikuwa watu kama 9
Makadirio yangu hapo nitaongeza tofali 1000 kila tofali ni 1100 so itakuwa 1100000, hapo nna assumu nitatumia kama mifuko 25 ya cement ambapo kila mfuko ni 16000 kwa sasa, mbao za kukodi na mirunda ya kununua kama 4 kwa ajili ya kupandaia. Mchanga upo ila nitaongeza trip nyingine ya 70000 uko. Kokoto zipo ila nitaongeza trip 1 ya 140000. Na nondo n.k na ufundi roughky sitegemei kama sitafika mls 4. Lakini una estimate hivi zinakuja gharama za vitu vidogo vidogo zinaongezekaHizo gharama za hapo awali na za kupandisha boma zinaweza kuwa zaidi.
Ukiachana na hiyo mil 6.4 uliyotumia Je kupandisha boma kabla ya kupaua Itakuwa zaidi ya hiyo amount ya awali Kwa makadirio ya fundi?
Maji takaMbona mashimo mengi mkuu, yote hayo ni ya nini??