Kaa mbali na uzinzi, uasherati, ngono nje ya ndoa

Kaa mbali na uzinzi, uasherati, ngono nje ya ndoa

Kibaya zaidi ni dhambi mbele ya mwenyenzi Mungu. Uzinzi unakuachia laana katika maisha yako yote utakayoishi hapa duniani na kama hutatubu utaenda Jehunum.
 
Wanaume wakiconcentrate na njia kuu ving'asti lazima watakosa masoko. Wanaume ndio chanzo cha kwenda nje ya ndoa
 
Sipendi kabisa kiongozi. Kwani huko ugenini unapata nini ambacho hupati ukiwa home??
Ingekuwa wanandoa wengi wana msimamo huo...ningeshawishika kuoa, ila kwasasa sina shida yoyote namshukuru Mungu, ila siitamani ndoa. Hii ni kutokana na matukio ninayoyaona na kusikia katika ndoa nyingi za sasa, Mungu tu anisaidie nimechoka
 
Mmhhhhhh nafikiri sio Mahala sahihi kutoa jibu/comment ya aina hii kwa Mada sensitive Kama hii

Kwani hujui Kuna vaccine ya hepatitis B inatolewa kwa watoto wa chini ya miaka mitano kwa hisani ya watu wa Marekani?

Vile vile hata mtu mzima unaweza kununua ukajichanja, inauzwa elfu 15 tu
 
Back
Top Bottom