Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,769
- 54,207
- Thread starter
- #21
pamoja sana mkuu, enzi zile jando ili saidia Sana.Umemaliza na huo ndio uanaume wenyewe .Hapo kwenye kuongoza familia na mke si lelema .Natamani kungekua na mafunzo ya watu kuelewa uanaume ni nini.
Siku hizi mambo yame badilika, so watu wana ishi kimachale tu.