zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Humu CHIT CHAT ..anaenikonga nafsi yangu ni huyu mwana Mama Madame B,natangaza nia mapema...
unaufahamu uchawi wa kongo wewe,? Jiangalie usijekuta shati linaliwa na mchwa ukiwa umelivaa mwilini, wapi Chimbuvu na kati ya bukavu
Siruhusu mtu kutangaza nia na mke wa mtu hapa jamvini
Mi ndo zologwa mbabe nimezaliwa ufipani ulikozaliwa uchawi..hayo ya kongo madogo..
Makubaliano yangu na yake yatazaa nyumba yetu.
akitaka kikojoleo kihamie kwenye paji la uso athubutu
akitaka kikojoleo kihamie kwenye paji la uso athubutu
Kuotesha mtu kucha kwenye meno nilifanya nikiwa na miaka 3,
akitaka kikojoleo kihamie kwenye paji la uso athubutu
akitaka kikojoleo kihamie kwenye paji la uso athubutu
Nami dawa hiyo naitaka bei inauzwa, ya kunasana imepitwa na wakati.
hahahahahahahahahahahahahahaha uwiiiiiiiii keleuwiiiii