Ka ajira ka kudum haka hapa...

Ka ajira ka kudum haka hapa...

Dah!!pole kubwa tanzania yangu nakupenda lakini ...MUNGU tusaidie hivi kweli kama mtu nimchapakazi nikamlipa 6000 kile chakula uki comvert kwa thaman ya fedha ni zaid ya 4000 huyu mtu tayari analipwa 10,000... kunatatizo gani hapa????????? Basi bwana ngoja mwanangu akue nitaganya nae kazi duh...
Hongera kaka,umejiajiri na sasa unaajiri wengine,hao wanaoshangaa hawajui kuwa kuna watu kila kukicha hawana hata uhakika wa kukamata 1000 mkononi. Mungu aibariki kazi ya mikono yako.
 
Vip kama sina utaalamu wa kupika
Pasion ya kazi mkuu kumbuka mimi ni bilionea mtarajiwa ukikubali kwenda na mimi kuanzia leo mwisho wa siku huwezi kua mfanyakazi utakua boss mwenzangu kwenye kampuni yetu.....kujua sio ishu nitakufundisha only one week utajua tuu....
 
So umeshapata au laah pia mm nipo nje ya dar
 
Mjasiliamali nina local mgahawa vingunguti hapa nashukuru Mungu safari ya kuelekea utajiri nimeianza..sasa nahitaji kijana wa kiune mchapa kazi muelewa anaye fundishika na kujua nini maana ya kazi. Nahitaji aungane na mdada aliyepo niwakabidhi mgahawa mimi naanzisha biashara nyingine.. mshahara ni kati ya 4000 na 6000.. per day itategemea biashara ipoje kwa siku husika tuna pika supu asubuhi wali mchana na usiku.....utakula vyakula vyote bila nyanyaso ukitaka kukaa hukuhuku tuta arange... nipigie hata kama yupo unamjua niunganishe nae.....0714 045080....KARIBU...
Boss umeshampata mtu kama bado tutafutane PM tujue nafikajeeh mjini mm nipo mwanza
 
sina kazi but in reality hapo dar mtu ataishije jaman?
acha dharau ndio maana unatukanwa....binafsi nilianza kazi Dar kwa ujira wa elfu moja mia tatu hamsini..mpaka leo ashukuriwe maanani nina uwezo wa kuajiri watu wengi....hata vitabu vya dini veandika usidharau mwanzo mdogo
 
Tar.24/3/16 nilipost kwamba nahitaji kijana wa kiume nishirikiane nae kwenye kazi zangu za ujasiliamali (mgahawa) nashukuru nilipata simu nyingi sana nakumbuka mmoja alisema amemaliza UDSM lakini ajira ngumu hivyo yupo tayari lakini tulishindwana kwenye kuwa mfanyakaz wa kudumu. Ila aliomba sana nisimtangaze na nilifanya hivyo.

Mwingine alisema yeye ni mwalimu wa chekechea yupo Dodoma yupo tayari kulipwa hata 3000/ tulishindwana kwa vitu fulani pia kuna wengine wengi lakini kuna mtu yupo hapa JF aliona post akachukua namba akamtumia mhitaji ndipo nilipowasiliana nae alikua Gairo morogoro, nimemchuka huyu jamaa nipo nae.

Asanten kwa kunitia moyo.
NB: Kuna watu bado hawaamini mpaka leo kwamba kazi unaweza kupata na sio wote matapeli

Asante JF.
 
Ahsante kwa mrejesho, ni muhimu sana kutoa mrejesho, angalau watu wanapata moyo pia kuwa bado kuna watu waaminifu JF
 
Back
Top Bottom