Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 366
Mjasiliamali nina local mgahawa vingunguti hapa nashukuru Mungu safari ya kuelekea utajiri nimeianza..sasa nahitaji kijana wa kiune mchapa kazi muelewa anaye fundishika na kujua nini maana ya kazi. Nahitaji aungane na mdada aliyepo niwakabidhi mgahawa mimi naanzisha biashara nyingine.. mshahara ni kati ya 4000 na 6000.. per day itategemea biashara ipoje kwa siku husika tuna pika supu asubuhi wali mchana na usiku.....utakula vyakula vyote bila nyanyaso ukitaka kukaa hukuhuku tuta arange... nipigie hata kama yupo unamjua niunganishe nae.....0714 045080....KARIBU...