K Mileage

K Mileage

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Wakuu,

Ghafla nimepoteza morali baada ya binti niliyemtumainia kwamba huenda akawa mwenza wangu wa maisha kufunguka mahusiano yake ya nyuma! Nimekuwa nikichat naye, kuandikiana SMSs, kupigiana simu hata kutumiana emails. Alikuwa ameshaniingia akilini na kwenye nafsi kwa kiwango cha kutosha kwani ana vivutio na sifa zote nilizozihusudu.

Chokochoko nimeanza mie mwenyewe baada ya kutaka kujua mahusiano yake ya nyuma. Dah, mambo yalikuwa kama ifuatavyo:

mimi: Dear ni vema tukawekana sawa kuhusu mahusiano ambayo tumewahi kuwa nayo kabla hatujaenda mbali. Mimi nilishawahi kuwa na uhusiano na msichana mmoja zamani kidogo, mwaka 2010, tulikuwa marafiki nia zetu ilikuwa tuje kuoana lakini ilishindikana

yeye: How old are you, umekuwa na uhusiano na mwanamke mmoja tu!

mimi: Nina miaka xx, of course nilijaribu kuishi kwa kufuata maadili mema, hata huo uhusiano nia yangu ilikuwa tuje kuoana, vinginevyo ningeepuka kujihusisha

yeye: Mimi nimekuwa na uhusiano na wanaume sita, wawili nikiwa o-level, wawili a-level, mmoja chuo na mwingine baada ya kuingia uraiani. Kulikuwa na mahusaino mengine mafupi mafupi just for funny

mimi: Sasa mahusiano hayo yote yalikuwa na lengo gani, na yalikuwa yanaishaje?

yeye: Just kupeana good times tu, sikuwa serious, sasa nahitaji life partner

mimi: (Nikarudia tena) Yalikuwa yanaishaje?

yeye: Kuna sababu nyingi, boyfriend kukosa uaminifu, kuwa mgomvi, kushindwa kukusupport, au tu inafika time simfeel, yeah etc., (anaongea kama kitu cha kawaida na kuchomeka maneno ya kiingereza kama nilivyoandika hapo)

mimi: Sasa mahusiano mafupi mafupi yalichukua muda gani na marefu muda gani?

yeye: Mafupi mafupi, just months, marefu kuanzia mwaka mmoja na kuendelea, mengi yalikuwa yanaishia miaka miwili

mimi: Mafupi mafupi yalikuwa kama mangapi?

yeye: Sorry, I can't mention

mimi: (Nikawa mpole, halafu nina hasira ila yeye hakugundua) Dear, hii wewe unachukuliaje, ni kawaida?

yeye: Mbona kawaida sana tu, kuna wasichana wengine wanakuwa na wanaume kadhaa at a time! Lakini ni ujinga tu, ndio maana nimeachana na mambo hayo, I just want to get married

mimi: Sasa rafiki, katika haya mahusiano yote mimba ulikuwa unazikwepaje au una watoto?

yeye: Mimba sijawahi kupata, ni kuwa makini tu

mimi: Uko serious na haya uliyoyasema?

yeye: Honestly, this is pure truth my dear, nimeona ni vizuri nikuweke wazi ili kuepuka migongano baadaye

mimi: Kwani hii tabia ya kuwa na haya mahusiano yote unadhani umejifunza sehemu au ni kitu gani kilichosababisha uwe hivyo?

yeye: Hii mbona kawaida, this is biological

mimi: Poa basi tutaongea siku nyingine

yeye: Thanks dear, your welcome


Wadau nilipo hapa sina nguvu hasa nikizingatia kwa muda gani amekuwa kwenye mahusiano. K mileage na usage frequencies hapa zitakuwa juu mno!

Natamani kesho nitakapoamka (kama nitaweza) kuongea naye aje akanushe na kusema niliyokuambia jana ilikuwa ni utani tu, nilitaka kukupima! lakini kwa jinsi nilivyokuwa nikiongea naye sioni kiashiria chochote wala dalili kwamba alikuwa anatania.

Sasa wadau mliooa, wake zenu walifunguka kabisa kwamba walikuwa na mahusaino angalau na mtu mmoja labda kwa mwaka mmoja, miwili, mitatu n.k?

Hii kitu mnawezaje kuibeba kwenye mioyo, akili na nafsi zenu? Maana mie pamoja na ujasiri nilionao nimechoka, na nimelala sijui nitaamka lini!
 
Hakuna cha mileage wala nini hapo mkuu hiyo kitu haichuji, ni kama njaa tu, hata ule kuku nzima leo kesho yake inarudi pale pale! hivi hujiulizi kwa nini wanaume wanaiba wake za watu tena wenye watoto! labda uongelee upande wa tabia yake tu, na kwamba hukutegemea mtu wa style hiyo!!!
 
-mi ninavyojua aliyekuwa na 1 na aliyekuwa na 10 wote ni wazinzi tu, hakuna cha afadhali

-halafu mwanamke aliyetembea na wanaume 2 ktk life time yake na aliyetembea na 10 hawana tofauti ktk K zao

-we endelea naye tu as long as ataacha mahusiano yake ya zamani.
 
mwanamke bwana anatakiwa awe wa mtu mmoja tu. Lakni hawa watu wako kama magari sijui kiti cha basi? kila mtu anakalia halafu anashuka popote.serious task!
 
Ndugu,ukiona manyoya ndo ujue keshaliwa,umemkuta mdada wa watu sio bikira maswali mengi ya nini?we jua alikuwa akiduu.katika ndoa sio kila siku utakuwa ukiamini mkeo yuko salama,wakati mwingine unapotezea tu kama vile huhisi chochote.cha muhimu unapaswa kuamini kuwa ameshakuwa wako,hata akienda huko nje bado tu atarudi na kukuhudumia kama utakavyo.kitu ambacho kinaweza kukupa wasiwasi ni kama anatabia ya kugawa hovyo,kuna mtu mwingine anakuwa hawezikukaa bila mwenza,lakini sio kwamba anatabia ya kugawa hovyo,hapana,basi tu ili ajihisi ametimia lazima awe na mtu
 
uongo husemwa na waoga sio kubwa la maadui, quit kudanganya, dont say ts xpected of u, it isn't.
an honest & a str8 forward gal is the sexiest,
u should be one.

me binafsi huyo bidada (yeye) kanibamba, bidhaa adimu hizo kaka wala usiwaze sana, vulia maji nguo au yamwage, uzuri kakwambia ukweli, which is good.
ukweli humfanya mtu kuwa huru
 
I sometimes tell serious lies not because i like but simply because its expected of me to lie!
DON'T tell the truth "where lie can do better"
Haka kamsemo kamekaa vizuri.
 
Interesting..ila hiyo kitu haina mileage..wanazaa watoo na inarudi vilevile.. me naona amekua mkweli na ameshazunguka sana na anataka kutulia. Huyo ndio mzuri
 
nice narration...
Mkuu kifupi huyo binti kama ana maanisha anayoyasema naweza kusema kwamba hana aibu hata...

Ila kwa upande wa pili anaweza akawa anapima tu imani yako kuona je waweza mvumilia..uskute amewah dn mara moja..
Sasa ndugu wewe mvulie kdogo ..na mkifika mbali kdogo.. Tumbukiza ishu ya kuchek afya...mkivuka hilo then she is a good girl...

I cant wait to c wap mtafika.
 
Hana kosa ...kama kasema ukweli sjaona kosa lake sana. Hata wanaume wanaweza kuwa na uhusiano na girls zaid ya hata watano kwa nyakati tofaut na akija amua kuoa ataweza oa bint ambaye hakuwah kuwa hata na uhusiano hapo awali na mambo yakaenda poa
 
Interesting..ila hiyo kitu haina mileage..wanazaa watoo na inarudi vilevile.. me naona amekua mkweli na ameshazunguka sana na anataka kutulia. Huyo ndio mzuri

Hiyo kitu ina milleage;na ni rahisi kutambua!

Mtandaze miguu yake na ukiona mashavu "Labia minora" yamelegea mno jua imetumika sana!
 
Lara1 uko sawa kabisa! !!!!

Kuna wanaume kama mafala jamani umeuliza umeambiwa ukweli unajuta!!!!!!
Ungedanganywa ungesema ameku fool!!!!
Sasa unataka watu wakupe historia za wake zao!!!! Halafu???????


Kila siku mnaambiwa usimchokoe mpenzi wako kama huna jinsi ya kifua cha kushughulika na
yatokanayo!!!!!
 
Hiyo kitu ina milleage;na ni rahisi kutambua!

Mtandaze miguu yake na ukiona mashavu "Labia minora" yamelegea mno jua imetumika sana!

jamani jamani...anatomy and physiology!!!!!!!

Kwa jinsi tunavyotafuna tangu utotoni saa hizi lips and cheeks zingekuwa magotini!!!!!
 
Simplicity. ukimchunguza sana bata, hautamla, ingawa si jambo baya kuchunguza, maana yakija kukupata utajua nini cha kufanya.

Maadamu ukweli umeupata, uamuzi sasa ni wako, either usahau na kusamehe yaliyopita na kuanza mahusiano mapya kwa msemo wa the past has gone, au kushindwa kumsamehe na kum-mwaga na kutafuta mwenye mileage ndogo (ingawa hili halina guarantee kwa maisha ya sasa na wala hakuna namna ya kulidhibitisha!)

Sasa hapa ndugu yangu tumia utashi wako kufanya maamuzi, ikiwemo busara, akili, mapenzi yako kwake, hali halisi ya maisha, tabia za mhusika, matarajio yako kwake, mipango yenu ya baadaye, nk nk maana hapa dunia ni yako na chaguo ni lako pia!
 
Hivi hizi mileage huwa zinahesabu upande mmoja tu?
probably the best Qn ever in this thread.......hizi milage naona ni kote kote..kwani wale waganga wanaoyoa toa matangazo yao ya kuongeza nguvu,urefu sijui upana si ndo kikelelezo kwamba upande wa pili milage nazo zikienda inasumbua?..as we know supply dictate demand and the opposite is true!
 
Back
Top Bottom