Ni kweli zinatofauti sana, kama kubwa inakusumbua kwenye kuiandika achana nayo, jizoeshe kuiandika k ndogo, itakusaidia kuremba mwandiko na mwalimu atakupa sifa!
hivi tunzungumzia apperance eeh??mm nikajua size...
K umeona ilivo?
k umeona na haka?
Kk zinatafauti katika maandishi na matumizi.
Huwezi kuandika Kabwe kama jina la mtu kwa kabwe.
Hebu tutrudi darasani kidogo, sio kwa Kk tu bali kwa herufi zote.
Unatumia herufi kubwa mwanzo wa tungo au kwa jina pekee (proper noun).
Kwa hivyo unaweza kuandika kwa mfano,
"Kuni zimepanda bei" au "Bei ya kuni iko juu"
Aisee, najaribu kufikiri jinsi k kubwa zinavyokupa tabu na kukuharibia mwandiko, ila jitahidi ujifunze zote, zote manake kuna siku utatakiwa kuandika k kubwa peke ake!umejuaje???
napenda ndogo kinomaa..
yani ikitokea ni lazima kuandika k kubwa
duh hata kalama cwezi kuinuaa...
na muandiko huwa mbayaa..
Nimegundua tofauti ya K kubwa na k ndogo.......ukicheki hizo slanted lines zinapokutana na penye tofauti. K ndogo slanted lines zinakutana chini, wakati K kubwa zinakutana juu... .............. AKYAMUNGU YAANI SIAMINI KAMA NAMI ZINA NIPA SHIDA............. HEBU NISAIDIENI.... HAYA MANENO NIMEANDIKA KWA HERUFI NDOGO AU KUBWA?............ kuku, koku, soko, zuku ..............K ni k tu hamna cha ndogo wala kubwa,k zote zina same appearance Kk
Kwani 'k' ndogo na 'K' zina tofauti?mimi naona hazna tofauti itadepend na mtumiaj kama atatumia vizur kwa staiz mbal mbal
Hahahaha! Basi wewe mwandiko wako utakuwa mbaya sana...K kubwa ndiyo ni nzuri zaidi maana unaweza kuiandika vizuri hata kama utafumba macho! tofauti na k ndogo itakusumbua kuifitisha kwenye mstari wa daftari! Aisee!!
Nimegundua tofauti ya K kubwa na k ndogo.......ukicheki hizo slanted lines zinapokutana na penye tofauti. K ndogo slanted lines zinakutana chini, wakati K kubwa zinakutana juu... .............. AKYAMUNGU YAANI SIAMINI KAMA NAMI ZINA NIPA SHIDA............. HEBU NISAIDIENI.... HAYA MANENO NIMEANDIKA KWA HERUFI NDOGO AU KUBWA?............ kuku, koku, soko, zuku ..............
bagah una matatizo si bure.hapo hapo kwenye slanted lines..
Za k kubwa zimetanuka sanaa aisee...