"K" kubwa na "k" ndogo

"K" kubwa na "k" ndogo

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
kiukweli hizi herufi zilinitesa sana ktk kipindi cha muandiko std I...
cku njema jameni!
 
Kiko, Kiti,Kuni, karibu, kuna nini?.
 
hata Mm, Ww, Zz nazo zilinisumbua sana.
Kwanini wewe ulichagua Kk?

Kumbe ulikuwa polluted tangu mdogo!
 
Kwani 'k' ndogo na 'K' zina tofauti?mimi naona hazna tofauti itadepend na mtumiaj kama atatumia vizur kwa staiz mbal mbal
 
hata Mm, Ww, Zz nazo zilinisumbua sana.
Kwanini wewe ulichagua Kk?

Kumbe ulikuwa polluted tangu mdogo!

nimeichagua iyo maana ndio ilikua inanitesa...actually mpaka leo ni mateso tupuu!.
 
mh,mbona mm naona zinatofauti aisee...haswa kwenye kuiandika
Ni kweli zinatofauti sana, kama kubwa inakusumbua kwenye kuiandika achana nayo, jizoeshe kuiandika k ndogo, itakusaidia kuremba mwandiko na mwalimu atakupa sifa!
 
K ni k tu hamna cha ndogo wala kubwa,k zote zina same appearance Kk
 
Hata O mimi ilinipa mgogoro kwenye kuiandika. Utata unatokea pale kuitambua kama ni O kubwa au o ndogo halafu wakati wa kuikutanisha ni mgogoro mtupu
 
K, kubwa inasumbua sana kuandika yani utaona inaelea tu kwenye mstari hata haitoshi vizuri ila K,ndogo ukiandika inatosha vizuri kwenye ile mistari ya daftari!
 
Hahahaah!! Naona watu bado mna hangover za wikendi.
 
Hata O mimi ilinipa mgogoro kwenye kuiandika. Utata unatokea pale kuitambua kama ni O kubwa au o ndogo halafu wakati wa kuikutanisha ni mgogoro mtupu
mmh libent sasa unazidi kunichanganya...
kwan o ndio 0 kisifuri??mm
ndio cjui sasa ooo na sifuri...zote zina vitobo
 
K ni k tu hamna cha ndogo wala kubwa,k zote zina same appearance Kk

hivi tunzungumzia apperance eeh??mm nikajua size...
K umeona ilivo?
k umeona na haka?
 
Back
Top Bottom