K-Basili na Linex

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
334
Reaction score
59
Hawa jamaa nawakubali sana! naomba mwenye nyimbo za k basili ''wanipa raha" na nyingine aniwekee nipakue pia mwenye wimbo wa Linex-Aifola aniwekee pia! waptrick hizi nyimbo hazipo! naomba msaada! pia kuna ka wimbo fulani '' ninachokipata nagawana na wenzangu maskini kama mimi,-------'' na huo nauomba sana! Shukrani wakuu
 

Wenye majonzi na stress wanapenda sana nyimbo hizo.pole sana ipo siku utatulia tuu matatizo yameumbiwa binadam!
 

hiyo ya mwisho ni ya Q chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…