jwtz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jwtz

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tricky, Jan 17, 2013.

 1. t

  tricky Member

  #1
  Jan 17, 2013
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  msaada jaman kwa yyte anayejua,vp mwaka huu jwtz hawaajiri proffesional? coz naona sahv wanaofanyiwa usahili wilayani ni form 4 na 6..
   
 2. High Vampire

  High Vampire JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2013
  Joined: Nov 17, 2012
  Messages: 2,002
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  kama unapenda jwtz tumia vyeti vya form 4 na 6 ukipata ajira utasajili vyeti vyako ukiwa kazini
  huo ni ushauri tu
   
 3. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2013
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  bado hawajatangaza, ila watatangaza tu usijali......kuwa na moyo wa subira, proffesionals huhitaji hela nyingi katika mafunzo, koz wakishapiga miez 6 ya kwanza, direct wanaenda monduli, so lazima jeshi lijipange,...si unajua maproffesional ukiwazingua, wanapiga chini wanasepa..........
   
 4. K

  Kambiaso Senior Member

  #4
  Jan 17, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Sikuhizi jwtz wamesitisha kichukua professionals direct,wanachukua watu from jkt,hii ni kutokana na professionals kukaa mda mfupi jeshini wakiona mbo hayaendi walivotarajia au wakipata kazi kwngne wanaomdoka jwtz wakaamua kuanza kuchukua watu thru jkt,ulionje jeshi kwanza ukijua lilivyo wakja kkchukua inamaana uwezekano wa kukimbia jeshi utkua mdg.
   
 5. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2013
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watatangaza kwa watu wa MD, Meteorology na Architecture coz ndio Jeshi lina demand nao urgently kwa sasa so ni hao tu ndio hawahitaji kupitia JKT kwanza bali wataenda Monduli moja kwa moja! The rest ni LAZIMA upite JKT kwanza na huko utakuta wenzio wako Benchi wanangoja chance ya kuandikishwa JWTZ na wengine wana masters, sasa wewe jiite Proffesional na kidegree chako hapohapo una mawazo eti huyo cjui pro aende jeshi halaf akizinguliwa atoke! Ili akafanye kazi gani sasa coz logically kama uliona kuna mchongo sumwhere else ulifata nini jeshini ewe ndugu 'Professional'!?
   
 6. I

  Israel masawe Senior Member

  #6
  Jan 17, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Askari wa miguu wewe haujui ki2 wale unaowaona bench ujue ni watoto wa masikini mabosi zako wako bize wanapiga Bia dis tym wamesha daka mshiko usikariri mambo hakunaga formular ya mafanikio eti mateorlogist na archtectures je? Wanazidi 100 wanaotaka u jw? Acha watu wajaribu bahati zao ur so jelous wewe unae jiita Askari wa miguu
   
 7. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2013
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu, hapa Tanzania, hakuna chombo cha dola hata kimoja chenye wataalam wa kutosha....mahitaji ya wanajeshi wenye taaluma ni makubwa, ufinyu wa bajeti na teknolojia ya zamani ndiyo changamoto kubwa katika uajiri na uhitaji wa proffesionals....and mind you, siku hizi watu wanaingia jeshi kwa kufata fedha, si kama enzi zetu, tuliingia jeshini kwa uzalendo na mapenzi kwa nchi yetu...so mtu hata kama una PhD, na hujaenda monduli...kama ni mzalendo, utakata nyasi tu hadi muda wako ufike....alafu for your information, taaluma inahitajika na inalipa zaidi JKT na sio JWTZ...
   
 8. s

  sawabho JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2013
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,386
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Kama tayari amieishafikia ngazi ya proffesional ina maana ana degree na kuendelea, umri huo hautamruhusu kutumia vyeti vya form four.
   
 9. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2013
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu kwani unafkiri humu JF watu wote wanaoview hii thread ni watoto wa vigogo wa jeshi au serikalini? Tunajaribu kuwa realistic datz ol xo think of the majority hapa cjazungumzia watoto au ppo ambao wajomba au shemeji zao ni senior officers wa kuwakingia kifua wapate chance ya JW soon afta mafunzo ya JKT
   
 10. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2013
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajuba mbona mnakuja juu utafkiri nimewaambia habari za msiba wa ghafla!, usijidanganye ktk kila institution kuna kitu inaitwa saturation yan inafka point demand inacease kwa wakat fulani so tusimeze mambo ya JW ni zaid ya uyajuavyo, wat I said ni mpango wa uajiri wa jeshi kwa profession hizo nilizozitaja yaan nmetoa tu information sasa ucnione mimi kama nakubania au nasubiri jeshi kama ww coz hapa zaid ya hizi I'd za JF zetu hatujuani
  On the other hand pia inawezekana fani nyingine wakachukuliwa iwapo watu wa hizo fani tajwa hawatafikia idadi ya maafisa wanafunzi wanaotakiwa kwa intake ijayo so only under hiyo circumstances ndio utaescape JKT
  Halaf unaposema JKT kuna maslahi cjui Dili kuliko JW hueleweki perhaps u need to review mfumo mzima wa JKT kiutawala mayb in the end utaelewa kama JKT na JW ni 'mutatis Mutandis'.
   
 11. N

  Neyman wa chelsea Member

  #11
  Jan 19, 2013
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una uhakika kaka watu tupo serious
   
Loading...