Jwtz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jwtz

Discussion in 'Jamii Photos' started by MAKOSHNELI, Aug 11, 2012.

 1. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  JWTZ.jpg
  hell no msoja kashagonga kichwili chake hapa,ndio dizine ya askari tulionao leo hii ,sijui malawi wakituzingua itakuwaje
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawa ndo wakapigane vita malawi? thubutuuu..
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu mwana ukimshtua lazima akupigie saluti, Chezzzyha mnadhimu mkuu?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hii ingekuwa china ni balaaaa....
   
 5. Jotojiwe

  Jotojiwe JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Arafu nili mp!
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  patam hapo naomba wachokoze Vita na Malawi halafu nao wagome kujibu mashambulizi, (km Madaktari walivyogoma) halafu waMalawi wasonge ndani km hamkuwalipa kila Soldier 10m sio 7m za MaDr
  Hapo ni geti No 1 we katiza au jongo tu km hajakurupuka na utakula kichurachura hadi selo
   
 7. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heeeeh! Ameshika kiroba bila kuangusha wala kumwaga, kweli hawa ving'wendu watawaweza wanyasa?
   
 9. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  huyo ni askari mwenye cheo cha sajent na anaonekana ni mp yaani military police huwa wakali na wakakamavu kwa mazingira alipo inaonekana kapiga tungi baada ya muda atakuwa fit.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mama Banda ndo anarahisishiwa kazi hapa!!!!!
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  usiangalie kuioga hivo, askari wengi mps ni makomandoo waliofuzu, mshike sharubu hapo uone kama hukurudi kwenu ukitembea kinyumenyume.
   
 12. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukimshtua ghafla utasikia banda sio mimi ni membe na kojo juu.
   
Loading...