Kilwa94 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 2,727 Reaction score 3,139 Nov 26, 2018 #21 Ghost Worker said: Yaelekea uliingia kwenye comma mwaka 1990 ndio unazinduka mkuu. Siku hizi kuna Masters JKT (sio JW) na zina ndoto ya angalau kozi za awali ya JW achilia mbali kamisheni. Click to expand... Nafahamu vizuri sana ila nimezungumzia kwenye kipaumbele cha vyeo,ya kwamba hata kdt cha 6 huwa 'wanakula jiwe'(being commissioned).
Ghost Worker said: Yaelekea uliingia kwenye comma mwaka 1990 ndio unazinduka mkuu. Siku hizi kuna Masters JKT (sio JW) na zina ndoto ya angalau kozi za awali ya JW achilia mbali kamisheni. Click to expand... Nafahamu vizuri sana ila nimezungumzia kwenye kipaumbele cha vyeo,ya kwamba hata kdt cha 6 huwa 'wanakula jiwe'(being commissioned).
Senator Hans JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 599 Reaction score 377 Nov 26, 2018 #22 Ngumbaru said: Ahahaaah! Naona lugha ya Malkia Eliza inatumika. Noma sana!!! Click to expand... hahahaaaaa diiiii
Ngumbaru said: Ahahaaah! Naona lugha ya Malkia Eliza inatumika. Noma sana!!! Click to expand... hahahaaaaa diiiii
B Buru guja Member Joined Jun 27, 2018 Posts 86 Reaction score 131 Nov 28, 2018 #23 Detective J said: First volunteer for jkt, it two years program. Then when they need a man will they choose you if you qualify. Click to expand... si mchezo kwa kweli
Detective J said: First volunteer for jkt, it two years program. Then when they need a man will they choose you if you qualify. Click to expand... si mchezo kwa kweli
M mekii Member Joined Nov 21, 2018 Posts 30 Reaction score 48 Nov 30, 2018 #24 Polo said: huenda maana kule ukiwa na kidato cha 6 ni elimu kubwa sana na unapata kamisheni toka kwa mkulu. Click to expand... Ilikuwa zamani kwa sasa hakuna hicho kitu Labda hawa kidato cha 6 wanaosoma military science miaka 3
Polo said: huenda maana kule ukiwa na kidato cha 6 ni elimu kubwa sana na unapata kamisheni toka kwa mkulu. Click to expand... Ilikuwa zamani kwa sasa hakuna hicho kitu Labda hawa kidato cha 6 wanaosoma military science miaka 3