JWTZ wanapokea Barua kwa EmS?

JWTZ wanapokea Barua kwa EmS?

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Naomba Kujua Wandugu, Kuna Kijana wangu, ambae namsaport, Hili Tangazo la JWTz La Kuandikisha Watoto, nataka Kujua kama Wanapokea Barua kwa Njia ya Ems au, Kwa Mkono tu yaani apeleke mwenyewe Dodoma.

Maana naona kutumia kwa Njia ya kawaida naona kama itachelewa kufika.
 
Back
Top Bottom