comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,475
- 11,579
Naomba mtusaidie, kwa leo tuu nimeona wamepotea watu wasiopungua watano, na ambao wanapotea bila taarifa hapo bado hatujajua.
Hembu hili jambo fanyeni kweli, sio jambo la kisiasa tena hili nahisi KUNA BIASHARA YA VIUNGO VYA BINADAMU INAFANYIKA.
JESHI LETU WAKATI NDIO HUU.
Leo nimeona watoto wa3 wenye umri chini ya miaka 23 wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha (wametekwa).
Ni siasa tuu, ?? Kwamba mtoto wa miaka 18 ana hatari gani kwa taifa? Nadhani kuna biashara haramu nyuma ya hii speed ya kuteka inayoongezeka kilasiku.