pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 513
- 2,038
JWTZ kuruhusu mamluki kuingia nchini na kuua watu uliokula kiapo kuwalinda ni usaliti mkubwa.
Viongozi wa jeshini kama wanaweza kusaliti nchi yao na raia wao kwa vipande vya fedha, wanashindwa nini kununuliwa na maadui wakati wa vita.
Mauaji yaliotokea Tanzania hakika imani ya wananchi kwa jeshi la JWTZ itapungua kama sio kutoweka na ni kwasababu ya viongozi wa binafsi, tamaa na wasio wazalendo.
JWTZ linaonekana kuwa ni pambo kwenye mavazi, na sherehe za kitaifa, ila kulinda taifa na raia mumeshindwa, uongozi wote wa JWTZ unatakiwa kujiuzulu, hakika mumedhalilishwa, na badala ya kuchukua hatua kwa hao viongozi mumebaki toa visingizio na kushirikiana na vyombo vingine kuficha ushahidi ya maiti na hao mamluki.
JWTZ INAHITAJI REFORMS