Mawazomgando
Member
- Jan 17, 2013
- 41
- 6
No retreat no surrender, huku wewe umekalisha ma.---- yako kwenye kiyoyozi! arrghh
Yan Magamba mwaka huu kaz mnayo ww na wase**** wenzio
No retreat no surrender, huku wewe umekalisha ma.---- yako kwenye kiyoyozi! arrghh
we upo dar nenda wewe mtwara uka andamane ww acha upuuzi
aliye weka hii post anauliza kinacho endelea (i.e ye hajui/hana uhakika)
Sija ona aliye mjibu, ila watu mna ponda ka mmewaona hao jwtz
Dont say something because you have to
Say something if you have the thing to say
MITANZANIA BWANA
nchi nyingi zenye matatizo katika amani hazina jeshi?
Wakuu kuna taarifa kuwa japo mvua ni nyingi mno mtwara lakini kuna vurugu mno na jeshi pamoja na ffu wameingilia kutawanya waandamaji kwa mabomu.
Tujuzane waku walioko huko.