Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
:glasses-nerdy::glasses-nerdy: haki haipotei kirahisi
CNN,BBC,ABC NA ALJAZEERA ujumbe utaifikia ulimwengu tu
we upo dar nenda wewe mtwara uka andamane ww acha upuuzi
Ukinyimwa elimu lazima uumie sana
wameshindwa kulinda mipaka
yetu wanakimbilia kupigana na wanao dai haki yao.huu ni upuuz kweli
kweli
ahahahaha..mkuu umeua..No retreat no surrender, huku wewe umekalisha ma.---- yako kwenye kiyoyozi! arrghh
wakati wanapita k/koo kuzima maandamano ya waislamu mlishangilia sana leo wanazima maandamano ya wanamtwara wamekosa kazi ya kufanya??
No retreat no surrender, huku wewe umekalisha ma.---- yako kwenye kiyoyozi! arrghh
Ni matumizi mabaya ya DOLA na ni dalili ya kushindwa Utawala bora..................
Mkutano unaendelea kama kawaida
huo mkutano una watu ishirini nini?kwanini mnakwepa kuweka picha
CNN,BBC,ABC NA ALJAZEERA ujumbe utaifikia ulimwengu tu
we upo dar nenda wewe mtwara uka andamane ww acha upuuzi
Nchi nyingi zenye matatizo katika amani hazina jeshi?mm najua kitakachotokea hapo, wenye family wawe macho coz watoto wao watateseka nalijua jwtz coz nimepitia huko huwa hatuna mchezo.uliza pemba
Watu ishirini wapigwe mabomu na wapelekwe JWTZ?
Think.