JWTZ mnatangaza ajira zenu lini?

Vijana wapo depo, mi mtoto wa braza yupo makutupora, wamechukua waliosoma sayansi wale form six waliomaliza jkt ya juz, wametangaziwa wanaotaka, vijana wameenda wengi wameogopa kwenda chuo kikuu alafu ajira hakuna, chuo kikuu wataendaga baada ya kulamba ajira.
wanachukua tena mwezi wa pili bogi lingine hilo walochukua ni la military science kwa form six tu......lonza zilizopo mwezi wa pili kuna bogi lingine mkuu
 
Acha uongo wa vijiweni mafunzo yanayo tolewa ni mafunzo ya ukakamavu na medani za kivita biashara za kutishia watu vifo kila wakitaka kujiunga na jeshi huo ni ushamba wa kizamani, hakuna anae uwawa mafunzoni
Na wala hakuna alie wahi kulaumiwa kisa mtu kafa kwenye mafunzo kifo kinatokea ukiwa sehem yoyote
Kweli
 
wanachukua tena mwezi wa pili bogi lingine hilo walochukua ni la military science kwa form six tu......lonza zilizopo mwezi wa pili kuna bogi lingine mkuu
Wamechukua tayari,? bado bwa shehe, labda wakimaliza na wakipangiwa na weza kuwajuza Kama wale waliokuwa kule wametoka, sababu hawawezi kugonganishwa na wengine mpaka wale watoke.
 
Kwema, leo nafasi za kujiunga na jeshi la wananchi zimetangazwa, umri 18-26, uwe umepitia jkt, fatiliani fursa vijana kweli sio utani.
 
Back
Top Bottom