JWTZ maafisa wenu Tanga wanatia aibu

JWTZ maafisa wenu Tanga wanatia aibu

Kufanya mapenzi haina cha mwanajeshi bana.
waendelee hivyo hivyo

Kwa kweli hata mimi namshangaa mleta thread. Hili suala huwa halina raia, polisi, mwanajeshi, TRA, mkulima, maskini, tajiri, mweupe, mweusi, mfupi, mrefu, mnene, mwembamba wala.....(ongezea sifa zingine). Hivyo hoja yako haina mashiko. Kwani hao dada zako wamekutwa bikra na hao wanajeshi???
 
kufanya mapenzi haina cha mwanajeshi wala nani lakini heshima lazima ichukue mkondo wake, hata kama hawabaki watambue jamii inayowazunguka inawatizama.......watafute basi wakwao waache kuingilia mapenzi waliyoyakuta

Jamii inayowazunguka si ndiyo hao wanafanya nao mapenzi au!
 
Tanga raha sana zile totoz nitamu kwa kweli ukizingatia na zile neema Allah!Aisee mapoti mna faudu sana endeleeni tu huyu jamaa ana wivu wa kike tu!
 
kiherehere cha dada zenu na njaa zao jumlisha na nyinyi kutowapa elimu ya maadili.
 
mtoa mada acha kulalamika watoto wa Ta kwaufupi wwnamzuka sana na mapenzi,so kama huna pumzi ya kutosha utaishia kulalamika kuwa watu wanakupigia mke jitahidi kufanya mazoezi kama vile kukimbia asubihi na jioni pia mazezi ya kukata tumbo utengeneze kile kinachoitws Six part utaniambia utakuwa unapiga mzigo mpaka basi ni hayo tuu kwa leo.
 
Endeleeni si mnasema mapenzi yalizaliwa huko?
 
Binafsi natambua kazi kubwa inayofanywa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika kuhakikisha mipaka yetu inalidwa na hakuna adui anayetunyemelea.
Lakini kunabaadhi ya maafisa wa vyeo vya juu jeshini waliopo kozi katika kambi ya Kange-Tanga wamekuwa wakifanya vitendo vya aibu ambavyo havifai kufanywa na maafisa hao wenye dhamana kubwa jeshini.
Baadhi ya maafisa hao wamekuwa wakitembea na dada zetu (kimapenzi ) hapa Tanga, bila woga wala kujali, japo wanahaki zao za msigi kufanya hivyo lakini uchafu huo haufai kufumbiwa macho hata kidogo kwani wameuvamia mji kwa mahusiano hayo ya kimapenzi huku wakisababisha mahusiano walioyokuwa nayo kwa weza wao kuvunjika kwa ajili yao.
Wakati maafisa hao wakifanya hayo ninaimani wameacha familia mke na watoto huko walikoto. JWTZ ifanye uchunguzi juu ya hili watabaini, kwani linashusha heshima kwa jeshi letu pendwa kwa tabia zinazofanywa na watu wachache bila kujali dhamana waliyopewa na Taifa hili la ulinzi.

Tatizo ni nini, kufanya mapenzi au kuwa mwanajeshi? Binafsi nadhani ingekuwa tatizo kama wangekuwa wamebaka, wamevipanda vi-under 18 au wake za watu. Lakini pia nadhani wanafanya hayo mambo wakiwa nje ya majukumu yao ya kawaida au nje ya sare. Hii ni sawa na kama ambavyo mtu mwingine yeyote (mfano mwalimu, mhasibu, mlinzi) angefanya. Na wao wana haki ya kupata hiyo huduma ndugu yangu, kama umezidiwa kete tafuta badili mbinu ya ku-compete.
 
Hilo la kufanya mapenzi halina shida ila wanatakiwa wajiheshimu au wawaoe basi watu wanahasira nao sana na tabia zao hizo wanazofanya.
 
du dada zako wanajuakuji murtply au jamaa wamekupola demu pole sema nao tu taratibu watakuachia tu
 
Back
Top Bottom