JWTZ kukatiwa umeme ni sawa?

JWTZ kukatiwa umeme ni sawa?

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,613
Reaction score
6,735
Wakuu,

Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi?

Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi?

Naandika hivi wakati Lugalo jeshini pakiwa ni giza totoro na ikumbukwe pana hospitali pia (nako giza).

Mamlaka zijitafakari, hili halikubaliki
 
Ndio ni sahihi
 
Umefikiria kuhusu hospitali? Kuna kina mama wanataka kujifungua,watu wanatakiwa kufanyiwa upasuaji nk.. Bora sehemu ya usalama hata kufanya doria ikiwa gizani ndo nzuri hata adui hakuoni pia nikuulize Porini huwa kuna umeme ambako huwa wanalinda ama kupigana na maadui??
 
Wakuu,

Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi?

Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi?

Naandika hivi wakati Lugalo jeshini pakiwa ni giza totoro na ikumbukwe pana hospitali pia (nako giza).

Mamlaka zijitafakari, hili halikubaliki
Kuna baadhi ya watendaji wetu ambao pengine tumo humu JFlakini tunafanya kidogo sana kuboresha hali ya nchi.
mainjinia madaktari wahasibu mlioko humu hii ni challange kwenu
 
Mkuu alishasema HATA KAMA NI IKULU, KATA...!!!

Na maneno ni mawili tu, KA na TA. Japo kwa kiswahili sanifu hayo sio maneno. Si unajua mkuu Kiswahili hajui, Kingereza hajui. Labda Kisukuma.
Hahahaha ila nyie watu nimecheka kweli. Siasa inahitaji uwe mvumilivu sana...!!!
 
Mkuu alishasema HATA KAMA NI IKULU, KATA...!!!

Na maneno ni mawili tu, KA na TA. Japo kwa kiswahili sanifu hayo sio maneno. Si unajua mkuu Kiswahili hajui, Kingereza hajui. Labda Kisukuma.
Hahahaaaa et labda kisukuma
 
Katika service yoyote kuna breakdown mzee.

Tanesco kukata umeme kwao ni hasara. Kwahiyo ukiona umeme umekatika sio makusudi ya mtu bali ni matatizo ya mitambo au line za transmission au distribution.

Sasa kwamfano katika line inayoenda huko kambi ya jeshi ikaanguka nguzo hapo utamlaumu nani?

Chamuhimu hilo jeshi wanatakiwa wawe na alternative source ya umeme, ukikatiwa wa Tanesco waitumie hiyo source ingine.
 
Back
Top Bottom