JWTZ kukatiwa umeme ni sawa?

JWTZ kukatiwa umeme ni sawa?

Wakuu,

Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi?

Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi?

Naandika hivi wakati Lugalo jeshini pakiwa ni giza totoro na ikumbukwe pana hospitali pia (nako giza).

Mamlaka zijitafakari, hili halikubaliki
Utaambiwa unaleta uchochezi.
 
Hio ni Aibu sana mpaka mwenyewe nimejisikia AIBU kweli jeshi la karne hii litegemee source moja ya Power??? Au mafuta yamekata kwenye GEnset zao waache kutuabisha asee hio haifai kuwepo na Outage sehemu kama io
 
Uliza Kibiti kisha rejesha jibu!

...Wamekatazwa kuweka bajeti ya kununua genereta? Yaani watu private wenye Bar wana jenereta sasa institution muhimu kama hiyo inakosa back -up? Majuzi nilimtembelea jamaa yangu yuko magereza Moro, nikakuta the whole compound giza totorooo nikadhani mgao, baadae nikajulishwa wamekatiwa karibia miezi 2 sasa. Nimeenda mara nyingine nimekuta wote wamewekewa Luku na wanalipa wenyewe na kwa kuona uchungu wa kulipa wenyewe wengine majiko ya umeme wameweka stoo.
 
Katika bajeti yao ya mwaka si wanaweka gharama zote ? basi walipe sababu tanesco pia wana gharama za kuzalisha
 
Mkuu,mbona ni jambo la kawaida kabisa kwa nchi hii,sema wangejiongeza tu na jenereta maana hata mgao ukitokea hauwi na mipaka. BTW hata mimi siyo sawa kunikatia ikizingatiwa nime pre pay na nina lakini watoto wadogo hapa... ni kibatari tu kinaniokoaga

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Mikoa mingi iliyounganishwa katika Grid ya Taifa ilipata hitilafu ya umeme.
 
...Wamekatazwa kuweka bajeti ya kununua genereta? Yaani watu private wenye Bar wana jenereta sasa institution muhimu kama hiyo inakosa back -up? Majuzi nilimtembelea jamaa yangu yuko magereza Moro, nikakuta the whole compound giza totorooo nikadhani mgao, baadae nikajulishwa wamekatiwa karibia miezi 2 sasa. Nimeenda mara nyingine nimekuta wote wamewekewa Luku na wanalipa wenyewe na kwa kuona uchungu wa kulipa wenyewe wengine majiko ya umeme wameweka stoo.
Safi sana hii serikali nyingine kabisa zile za naishi kota kila kitu bure kwishney!
 
Back
Top Bottom