President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,992
- 93,340
Kweli watu wanaotandikwa na vitoto vya chekechea si wa kufananishwa na jeshi lolote ulimwenguni. Ni wa kufananishwa na vijana wadogo wanaopigana vichochoroni.Acha kufananisha jwtz na vitu vya ajabu ajabu
Hahaha...hawa wamevalia uniform kama za APAs-salaam alaykum, Amani iwe nanyi.
Leo ninawaletea picha za video na picha mnato kuhusu namna wanawake wanavyojihusisha katika majeshi ya ulinzi na usalama.
Nitajikita hapa Afrika mashariki huku nikiangazia nchi mbili zinazotumia lugha ya kiswahili katika kuwasiliana.
Tunaanza na video hii hapa
JWTZ Ina Air force kweli?? Ukizingatia wanatumia Ndege za ATCL for logistics.Kenya Defense Forces - Women serving as Fighter pilots, Captains, Engineering in the forces.
hatuna airforce mkuu tuna jeshi la anga!! kama hilo ndio lenu la anga huko kwenu mmekwishaJWTZ Ina Air force kweli?? Ukizingatia wanatumia Ndege za ATCL for logistics.
Daaaah hivi ndo kwa Mara ya kwanza Jiji linapata mkuu wa Mkoa au.
AP [emoji16]
Na mbona wanatumia dreamliner kusafiri? Napiga hesabu Kama ni KDF wanatumia KQ ama Jeshi la Marekani kutumia Delta Airlines...Does JWTZ really have military planes?hatuna airforce mkuu tuna jeshi la anga!! kama hilo ndio lenu la anga huko kwenu mmekwisha
Hata usijusumbue kuuliza, they don't have.Na mbona wanatumia dreamliner kusafiri? Napiga hesabu Kama ni KDF wanatumia KQ ama Jeshi la Marekani kutumia Delta Airlines...Does JWTZ really have military planes?
Police nao ni KDF kumbe!??
They are not in KDF.Police nao ni KDF kumbe!??